msafwa93
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 4,840
- 6,148
.......nasari yupo bize na kutekeleza ahadi kwa wana arumeru waliomchagua kwa kura nyingi ikumbukwe huyo dogo ndo mbunge aliyekimbiza mpinzani wake kwa tofauti kubwa nchi nzima zaidi ya elfu 50......sasa nyie mnatafuta pa kusemea eti hampigii lema kampeini unajua alichokizungumza lema kuhusu nasari au unakurupuka!
Acha uongo..
Aliekimbiza ni JOSEPH OSMUND MBILINYI..