Ewe Joshua Nassary, Godbless Lema amekukosea nini?

Ewe Joshua Nassary, Godbless Lema amekukosea nini?

Dhambi ya ubaguzi inaanza kuwatafuna.
 
Siku zote Compatibility nzuri popote ya KAZI NA MAENDELEO na kati ya MMASAI NA MCHAGA kwsbb sio wanafiki na wana MISIMAMO....wengine watembee zao tu.
 
Dhambi ya ubaguzi ishaanza kuitafuna chaggadema, baada ya kumaliza kutubagua sisi watu wa kanda nyingine sasa imefika zamu ya kubaguana wenyewe kwa wenyewe!! hakika Mungu ni mkuu!

mbona dhambi ya ushoga inakutafuna na tunakuvungia?
 
Hakukubaliana na ujio wa Lowassa CHADEMA alikuwa anawaunga mkono kinafiki ili ashinde ubunge tu. Sasa ameonyesha his true colour.

Anasubiri Lema ajibu yale madongo alivyopigwa na mpambe wake kwenye kampeni za ccm kuwa naye ni fisadi na amepiga pesa nyingi katika ubunge wake badala ya kuwasaidia wapiga kura wake.
 
Kamanda Lema atashinda Ubunge tena kwa Kishindo
Ila kwa mtazamo wangu ndio tunazidi kulipeleka jiji la Arusha Kuzimu....kwani sitarajii Maendeleo yanayo endela na kasi ya baba mwenye nyumba.... zaidi ya Porojo nyingi bila vitendo!
Ningetamani Chama chetu kiweke mtu mwenye uchu wa kuleta maendeleo...
Arusha ni Jiji hivyo inahitaji busara na uelewa wa mambo ya Uchumi....


 
Upeo wako mdogo ndio unakuonyesha kuwa huu ni upuuzi!

Ile avatar yako ya mchina wa ccm ilikuwa makini sana.....oops, naona ulihama na nyumbu wa 'mabadiliko'...
Unajidanganya mkuu...mtafute dogo janja mkaongee upuuzi wenu huko....otherwise unacholeta hapa ni majungu tu...
 
Kama leo wewe ni moja wa marafiki wa Lema basi Chadema inaelekea kibra ....wewe Msalani? Kisa EL ? Huu ndio unafiki wa kisiasa ....

Kwenye siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu!
 
Kipindi cha kampeni za Ubunge Arusha, ndio kinafikia ukingoni, toka uliposhinda ubunge Arumeru hukuwahi kukanyaga Arusha Mjini!

Sasa hivi hutembei na gari lililo na bendera wala rangi yeyote ya CHADEMA, Unaingia mjini Privately na kuondoka Privately! Kila mtu anashangaa! Je? Huyu ndio yule Nassary aliyesapotiwa na LEMA kuingia madarakani au? Butwaa limempata kila mtu!

Ukipigiwa simu na LEMA au timu yake hupokei! Watu wanajiuliza, Nassary umepatwa na nini?

Je ni fedha, Je umerubuniwa? Je CHADEMA imekuudhi? au ni LEMA? Joshua Nassary Jirudi uendeleze mapambano, fedha sio kila kitu!

Hebu tuweke wazi! Wana Arusha mjini tumekwazwa sana na hili! Japo bado tutamchagua LEMA awe Mbunge wetu!

VIVA LEMA, VIVA CHADEMA, VIVA ARUSHA MJINI!

Lazima kieleweke!!!!!

acha habari za ukanjanja na unafk uliokubuhu had leo kwenye account ya nassar ya facebook anamwombea kura lema acha habari za uchonganishi
 
Leo Joshua Nassary amepigiwa simu mara kadhaa na LEMA mbele ya macho yangu pale SAFARI HOTEL wala hakupokea!

Haujajiuliza labda kuna siku nyingine Nassari amempigia simu Lema na hakupokea? Kwa kuwa leo imekuwa mbele ya macho yako hiyo siyo Hoja! Ni ngumu mno kujua sababu kwa kuwa mimi na wewe wote ni third party tu! Wanajua wenyewe Nassari na Lema
 
Je wakati wa kampeni Lema alitia mguu Arumeru kupiga kolabo na dogo janja?
Lema alilalamikiwa sana kutoshiriki kikamilifu kampeni za wenzie haki yeye kwakw hali iko shwari.
Lema alikuwa na swagger za Lowassa atosha, na alijikoki hadi dhidi ya kauli zake mwenyewe za heshima kubwa kwa Mungu kumzomea Lowassa.
Kwa taarifa yako ndo ulikuwa uchaguzi uliomwingiza Nassary madarakani.
Sasa Wameru wengi hawapendi vigeugeu. Leo umemtukana mwizi, tumemzomea na viapo kwa Mungu, kesho unamleta mtu yuleyule awe mfalme.
Ngumu kumeza.
Mpaka Mussa kaleta huu uzi hapa, ni dhahiri hali ya Lema ni tete
 
Back
Top Bottom