MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
- Thread starter
- #41
Acha kupotosha wewe! Hakuna haja ya kampeni? are you sure? LOWASSA ametoka Dar es salaam, sasa anampigia kampeni LEMA hapa Arusha itakuwa NASSARY?Nimeongea na Nassary... wala hakuna tofauti yoyote na Lema au CHADEMA... na Aliongea na Lema kama siku 2 hivi zilizopita, na Lema kamwambia kwa uhakika kabisa atashinda kwa kishindo... hivyo hakuna haja ya kupiga sanaaaaa kampeni...
So, hakuna chochote baya au tofauti...
So, tuwe tunaandika vitu kwa ushahihi...
...