Ewe Joshua Nassary, Godbless Lema amekukosea nini?

Ewe Joshua Nassary, Godbless Lema amekukosea nini?

.......Nasari yupo bize na kutekeleza ahadi kwa wana arumeru waliomchagua kwa kura nyingi ikumbukwe huyo dogo ndo mbunge aliyekimbiza mpinzani wake kwa tofauti kubwa nchi nzima zaidi ya elfu 50......sasa nyie mnatafuta pa kusemea eti hampigii lema kampeini unajua alichokizungumza lema kuhusu nasari au unakurupuka!
 
Kipindi cha kampeni za Ubunge Arusha, ndio kinafikia ukingoni, toka uliposhinda ubunge Arumeru hukuwahi kukanyaga Arusha Mjini!

Sasa hivi hutembei na gari lililo na bendera wala rangi yeyote ya CHADEMA, Unaingia mjini Privately na kuondoka Privately! Kila mtu anashangaa! Je? Huyu ndio yule Nassary aliyesapotiwa na LEMA kuingia madarakani au? Butwaa limempata kila mtu!

Ukipigiwa simu na LEMA au timu yake hupokei! Watu wanajiuliza, Nassary umepatwa na nini?

Je ni fedha, Je umerubuniwa? Je CHADEMA imekuudhi? au ni LEMA? Joshua Nassary Jirudi uendeleze mapambano, fedha sio kila kitu!

Hebu tuweke wazi! Wana Arusha mjini tumekwazwa sana na hili! Japo bado tutamchagua LEMA awe Mbunge wetu!

VIVA LEMA, VIVA CHADEMA, VIVA ARUSHA MJINI!

Lazima kieleweke!!!!!
Sasa mngepewa nchi sijui ingekuwaje.......????
 
....kwahiyo mwanaume mzima unamjadili Nassary akipigiwa simu anapokea mkewe kwamba anatawaliwa?
...haya,endelea boss!

Kwa kweli ni aibu sana, hawa majamaa wanazidi jichimbia kaburini
 
Kipindi cha kampeni za Ubunge Arusha, ndio kinafikia ukingoni, toka uliposhinda ubunge Arumeru hukuwahi kukanyaga Arusha Mjini!

Sasa hivi hutembei na gari lililo na bendera wala rangi yeyote ya CHADEMA, Unaingia mjini Privately na kuondoka Privately! Kila mtu anashangaa! Je? Huyu ndio yule Nassary aliyesapotiwa na LEMA kuingia madarakani au? Butwaa limempata kila mtu!

Ukipigiwa simu na LEMA au timu yake hupokei! Watu wanajiuliza, Nassary umepatwa na nini?

Je ni fedha, Je umerubuniwa? Je CHADEMA imekuudhi? au ni LEMA? Joshua Nassary Jirudi uendeleze mapambano, fedha sio kila kitu!

Hebu tuweke wazi! Wana Arusha mjini tumekwazwa sana na hili! Japo bado tutamchagua LEMA awe Mbunge wetu!

VIVA LEMA, VIVA CHADEMA, VIVA ARUSHA MJINI!

Lazima kieleweke!!!!!

Mkuu kwa hiyo wewe una uchungu na Chadema kuliko Nassari?
 
Toka muanze kusema hivi ni miaka mingapi imepita? Mzee Wassira alitabiri pia, unajua ni nini kilichomkuta!

Sioni ajabu mimi kumsapoti LEMA, ni suala la kutambua tu! JEMA na BAYA!

Umesahau matusi yako kwa Lema? Ndio maana huu uendawazimu wa siasa zenu hizi wengine hatuwezi kuvumilia unafiki ....
 
Kwa hiyo bw Allan hujawahi pigiwa simu ukaacha kupokea kwa 7bu mbalimbali aidha kuacha simu ndani kuingia bafuni kukata sauti nk au ndo hizo zenu nafsi lawama!!!!
 
Hawa wamekuja kutuvuruga ....tutasambaratishwa hatua kwa hatua ....Leo hawa waliokuja kwa mafuriko ndio makamanda na wapanga mikakati ....CCM haitoki madarakani kwa gia hizi ....
 
Ukawa wanaanza,kutoleana,siri zao hapa,yatafahamika,mengi we ngoja,tu wameanza kuvurugana sasa.
 
Kweli?

attachment.php
 
Attachments

  • josh.jpg
    josh.jpg
    24.2 KB · Views: 721
dhambi ya kubagua huwa hawaachi salama

ona dalili zinaanza kuonekana
 
Back
Top Bottom