Ewe Joshua Nassary, Godbless Lema amekukosea nini?

Ewe Joshua Nassary, Godbless Lema amekukosea nini?

mtoa mada n changamoto tu anataka ila ukweli anao josh yuko poa na kesho utamwona htimisho la kampen
 
acheni kuwagombanisha watu
 

Attachments

  • 1449835283329.jpg
    1449835283329.jpg
    40.1 KB · Views: 735
Daaah!
...Yaan MUSSA ALLAN umekuja juz chadema hata miezi mi3 haijaisha leo unajifanya una uchungu na chama zaid ya Nassary?
...Naanza kupata mashaka na hawa watu walioletwa na Lowassa ndani ya hiki chama.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom