Baada ya kupata fedha sio? Kweli, ili tukujue tabia yako! Basi pata fedha!nassari anajitambua
Sikuwahi kumfukunyu Nassari kwenye uchaguzi mkuu uliopita kwa kuwa alikuwa ni mbunge kijana anayejitambua.
Nassari alianza kuiga mihemko ya Lema lakini kwa ushauri wa washili alijituliza.
Nassari ametumia muda mwingi jimboni kwake na kufanya maendeleo badala ya maandamano.
lema anapigwa chini Arusha!
Mkuu, hao ndo Team Lowasa. Soon wataanza kuvurugana
Nakuvutia kasi tu! Mnafiki sana wewe! Soon utaikimbia JF!Mkuu, hao ndo Team Lowasa. Soon wataanza kuvurugana
Hakukubaliana na ujio wa Lowassa CHADEMA alikuwa anawaunga mkono kinafiki ili ashinde ubunge tu. Sasa ameonyesha his true colour.
Kazi ya serikali ni nini? Kama mtu mmoja anaweza kuisimamisha biashara ya utalii?Mbona mnashambuliana wenyewe kwa wenyewe kuna nini Chadema.
Arusha mjini hali ya maisha imekuwa ngumu sana biashara zimedoda sana mikutano yote imehamishwa Arusha.
Watalii wanakuja kiduchu sana nimepita mwezi uliopita hapo Arusha ukumbi wa AICC majengo matupu.
Nassary na LEMA walikuwa ni marafiki wa karibu sana! LEMA ndiye aliyemsapoti Nassary kugombea Ubunge!Kati wabunge zaid ya 70 wa Chadema ni Nassari pekee ndie hakufika kwny Kampeni? Acheni kuchochda Fit a imarisheni chama Chenu na kama mapungufu yamalizwe. High Mussa Allah mumtazame kwa Makini Alihama ccm baada ya ccm kuchinja Mafisadi Dodoma
Kweli kabisa! Point! Kuna kipindi ukimpigia simu anapokea mkewe!nassary anapelekeshwa sana na mke wake, hana tofauti na dr.slaa