Evolution of CCM

Evolution of CCM

fisi udenda unamtoka kwa kutamani kila anacho kiona
picha ina ukweli maana nao C.C.... waroho hao duh!!!
 
Ama/ kweli watu ni wabunifu sana!!!huo ndo ukweli wenyewe!!ngoja wao waone ili wajijue wako vipi
 
Big up mkubwa? ccm alianza kama sokwe kipindi cha Kambarage ikawa binadam kamili kipindi cha Mwinyi ikawa kama mbwa kipindi cha Mkapa ikawa kama nguruwe na kipindi cha Jakaya ikawa fisi kabisa chochote kinachoonekana ni halali yake, watatumaliza hawa.
 
Back
Top Bottom