Evolution bado yaendelea.

Evolution bado yaendelea.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,034
uploadfromtaptalk1354036678040.jpgMpe jina analostahili.
 
Piranha, huyu samaki ni nouma wachina na uroho wao wa kula kula visvyoliwa wanamhara huyo anatafuna kilicho mbeleyake kama cherahani inavyoshona.
 
Mi ndo maana sipendi sana fish fingers! Unaweza kulishwa makitu hata sura hayana, aagh!
 
Tumwite samaki mtembezi..., coz ana miguu!!
Ila adhani alikuwepo ni vile tu hakuwahi kuonekana kabla!!
 
Back
Top Bottom