Hehehhe kupiga mtoto sio dhambi chief,unamfundisha...Acha usimpihe uone product utakayotoa,asiejua tofauti ya jema na bayaHivi mtu unawezaje kumpiga mwanao namna hiyo?
Mi kumgombeza tu siwezi seuze kumpiga?
Ninayempenda kamwe siwezi kumpiga - awe mtoto au mwenza.
Sipati kabisa picha eti nampiga Kisura! Nitaanzia wapi kwanza!!
Naona unajifariji..muosha huoshwa mchezo hauhitaji hasira, tulia tuliii vijana watapakua tu..
English figure hio, alifuge kwani anaishi haishi Africa??Mbona hana tako
Hehehhe kupiga mtoto sio dhambi chief,unamfundisha...Acha usimpihe uone product utakayotoa,asiejua tofauti ya jema na baya
Hahahahah sio mim mkuu,dunia Ina majaribu sana, Licha ya kumuombea mtoto inabd umdiscipline sana kujua jema na baya, vyuoni hata wenye maadili mema wanapata ujauzito sembuse wengine, tumepita huko changamoto ni kubwa sana..Hata wewe unajifariji tu maana si kila mwanamke ana tabia kama yako au fikra kama zako.
Kama wewe unapakuliwa hovyo na vijana, wazee, na vibabu hiyo haimaanishi wanawake wengine nao wako kama wewe.
Haya baba NNNinayempenda siwezi kumpiga. Tunafundishana na kuelezana kistaarabu na tunaelewana.
Hahahahah sio mim mkuu,dunia Ina majaribu sana, Licha ya kumuombea mtoto inabd umdiscipline sana kujua jema na baya, vyuoni hata wenye maadili mema wanapata ujauzito sembuse wengine, tumepita huko changamoto ni kubwa sana..
Hayo ni mawazo ya hapa Africa,kule marekani ni kawaida na hayo ndo maisha yanayotakiwa ili uonekane kuwa umefit kwenye jamii!
inahu???Ushawahi kuishi Marekani wewe?
inahu???
daar unamawazo kama yangu huwa nafikilia hivyoMada imenigusa.Kila Mara huwa namfikiria binti yangu.Itakuwaje atakapobarehe?Atanisikiriza tena kama sasa?Katika yote hayo sipendi hata kidogo kuwaza kuwa atamvulia chupi mwanamume.daah, so sad.
Ushawahi kuishi Marekani wewe?
Jamani ππππππππinahu???
daar unamawazo kama yangu huwa nafikilia hivyo