Yaani acha tu na hakuna msamaha hadi umekula fimbo za kutosha.😀 unajitafutia fimbo mwenyewe ukiona umeshayakoroga.. No mercy!
Dooh kuna wazazi wengine ni wababe yani akirudi home tu unaanza kuwaza wapi umekosea.. Siye ilibidi tujitafutie fimbo wenyewe maana ukimpa nafasi bi mkubwa ndo atafute basi italetwa booonge la fimbo🙁Yaani acha tu na hakuna msamaha hadi umekula fimbo za kutosha.
Basi kulikuwa na watoto wa jirani walikuwa wanatushangaa kweli. Maana wao kuchapwa ni timbwili hadi wakimbizane, sasa wakawa wanashangaa eti unafuata fimbo mwenyewe ili uchapwe!
Sikuhizi watoto wa kiume ndo wanahofiwa zaidi... Changamoto za malezi na tabia imekua ni pande zote kwasasa. Tofauti na zamani
Asante,nitayakumbuka hayaYaani umesema ukweli. Nimeolewa lakini kuna nyakati baba kama hakubali ukweli.
Tangu tukiwa wadogo alikuwa anasema hakuna kuolewa mpaka umalize chuo. Nikiwa chuo alikuwa anasema komaa ufaulu vizuri uunganishe masters kabisa ndo uolewe.
Kila mara haishi kusema sifa za anayemtaka. Akimaliza kusema unajiuliza hivi hapa naolewa mimi au yeye?
Katika yote ilinisaidia niwe mwangalifu nisije nikamkasirisha nikakosa baraka zake.
Miezi michache kabla sijafunga ndoa, alinipa ukweli wa ndoa kwa upande wa mwanaume alifunguka sana. Nilijifunza mengi.
Asante mkuu.Ana miaka Tisa na kila kitu kiko vizuri ,she is the best in her class,Nyumbani ni msikivu.Nina watoto wengine was kiume lakini nahisi nampenda zaidi so ningependa apate kila kilicho bora katika maisha yakePole Mkuu,umeandika kwa masikitiko sana japo bado haijakutokea, Jitahidi tu kumlea katika maadili mazuri na pia umfundishe kumpenda Mungu hope Mungu atamlinda na Mafisi
Wazazi wote mngekuwa mnayakumbuka hayo na mnapowaumiza watoto wa wenzenu dunia ingekuwa mahala salama pa kuishi.Asante mkuu.Ana miaka Tisa na kila kitu kiko vizuri ,she is the best in her class,Nyumbani ni msikivu.Nina watoto wengine was kiume lakini nahisi nampenda zaidi so ningependa apate kila kilicho bora katika maisha yake
Hahahaaa! Unaweza shushiwa hata stuli, hivyo kwa usalama wako ni bora ulete fimbo mwenyewe.Dooh kuna wazazi wengine ni wababe yani akirudi home tu unaanza kuwaza wapi umekosea.. Siye ilibidi tujitafutie fimbo wenyewe maana ukimpa nafasi bi mkubwa ndo atafute basi italetwa booonge la fimbo🙁
Hahahaaa! Unaweza shushiwa hata stuli, hivyo kwa usalama wako ni bora ulete fimbo mwenyewe.
Hayo yote ni kweli umesema na yanasababisha MTU kujilinda lakin inategemea na anaye ambiwa wengine ni wahuni balaa , anaambiwa hivyo anakutwa na mimba unashangaa wewe si ndo ulikuwa unabaniwaYaani umesema ukweli. Nimeolewa lakini kuna nyakati baba kama hakubali ukweli.
Tangu tukiwa wadogo alikuwa anasema hakuna kuolewa mpaka umalize chuo. Nikiwa chuo alikuwa anasema komaa ufaulu vizuri uunganishe masters kabisa ndo uolewe.
Kila mara haishi kusema sifa za anayemtaka. Akimaliza kusema unajiuliza hivi hapa naolewa mimi au yeye?
Katika yote ilinisaidia niwe mwangalifu nisije nikamkasirisha nikakosa baraka zake.
Miezi michache kabla sijafunga ndoa, alinipa ukweli wa ndoa kwa upande wa mwanaume alifunguka sana. Nilijifunza mengi.
Uko uko kwenye kwaya ndo wachungaji na wainjilist wanakomaa naye unacheza na digital wewwPole Mkuu,umeandika kwa masikitiko sana japo bado haijakutokea, Jitahidi tu kumlea katika maadili mazuri na pia umfundishe kumpenda Mungu hope Mungu atamlinda na Mafisi
Kuna wazazi wanajua kupiga wewe, hadi unajiuliza km ni mzazi wako! Km ilivyo kwa wanaume ambao hupiga wake zao.Hivi mtu unawezaje kumpiga mwanao namna hiyo?
Mi kumgombeza tu siwezi seuze kumpiga?
Ninayempenda kamwe siwezi kumpiga - awe mtoto au mwenza.
Sipati kabisa picha eti nampiga Kisura! Nitaanzia wapi kwanza!!
IntakeNyani Ngabu Mtoto kesha kuwa huyo mleteni aje achezwe mkole, pale Buruni Malapa tuna intake ya September awahi.
Naona unajifariji..muosha huoshwa mchezo hauhitaji hasira, tulia tuliii vijana watapakua tu..Hiyo ni dhana potofu tu.
Hayo mambo yanaendana na maadili ya mtu. Kama mtu [binti] mwenyewe ana maadili dhaifu na ni mwepesi wa kulala na watu hovyo hovyo basi hivyo ndivyo atakavyokuwa.
Hayo mengine ni imani, sadiki, na dhana potofu tu.