Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,091
- 136,650
- Thread starter
-
- #21
Mada imenigusa.Kila Mara huwa namfikiria binti yangu.Itakuwaje atakapobarehe?Atanisikiriza tena kama sasa?Katika yote hayo sipendi hata kidogo kuwaza kuwa atamvulia chupi mwanamume.daah, so sad.
Mh! we nawe chachandu unaita hirizi? wee wapi kwani?mbona unanchekesha bwana!Hahaaa USA baby wachucu hawavai hirizi kiunoni bana....
Mh! we nawe chachandu unaita hirizi? wee wapi kwani?mbona unanchekesha bwana!
Si sahihi hapa bongo mabinti wetu wameharibika zaidi na tunawaogopa hata kuwakaripia achana na fito-huko maji marefuTatzo wenzetu hawawezi kuwacharaza mbakola watoto wao! Ingekua hapa bongo, huyo binti angetafuta fimbo mwenyewe arudi nazo nyumbani..
Dah! mkuu hapo naona kama umetumia neno kali kwa mabinti,nadhani labda ungesema atapovunja ungo au hata atakapofikia umri huo,lakini kubalehe sio poa,kubalehe naona kama kwa wavulana ndio ina soumd poa.Mada imenigusa.Kila Mara huwa namfikiria binti yangu.Itakuwaje atakapobarehe?Atanisikiriza tena kama sasa?Katika yote hayo sipendi hata kidogo kuwaza kuwa atamvulia chupi mwanamume.daah, so sad.
Sijakuelewa boss, kitu gani?To each his own.
Sijakuelewa boss, kitu gani?
Understood,bossYaani kila mtu kivyake...anayependa hayo mambo, sawa. Asiyependa na kuyaona kama ni mauchafu au mahirizi naye poa tu.
Kila mtu ana haki ya kuyapenda au kutokuyapenda au kuyaona vyovyote vile.
Hence, to each his/ her own.
Understood?
Kuna mchizi mmoja alisema Obama hana "nguvu za kiume". Ndiyo maana kazalisha watoto wa kike watupu.
Kuna wakati huyu mtoto alikuwa anamshobokea Soulja Boy kichinichini.Watoto wa kike huwa na choice zao tofauti na matamanio ya wazazi wao kabisa....Usije shangaa Malia akamzimia Rapper mmoja muhuni mbaya ndo akawa chaguo lake huyo...
Tatzo wenzetu hawawezi kuwacharaza mbakola watoto wao! Ingekua hapa bongo, huyo binti angetafuta fimbo mwenyewe arudi nazo nyumbani..
Imagine angekua binti wa uncle duh hakika angekatisha ziara na kurudi Dar fast kutoa dozi nzito ya fimbo na asubuhi ingemkuta pale Segedansa.
Hahahaaa! Umenikumbusha my mom.Tatzo wenzetu hawawezi kuwacharaza mbakola watoto wao! Ingekua hapa bongo, huyo binti angetafuta fimbo mwenyewe arudi nazo nyumbani..
Hahahaaa! Umenikumbusha my mom.
Ukikosea anakuambia ukalete fimbo mwenyewe tena fimbo zilizotulia, unakula mboko hadi unanyooka.Alikuwa anakutandika mboko?