"Every Cloud Has a Silver Lining" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Every Cloud Has a Silver Lining"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Shinto, Mar 31, 2011.

 1. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Niliwahi kutahadharisha kwewnye jukwaa hili kuwa kama kuna kundi la watanzania lhaliipendi CCM kwa ukweli basi ni Waislamu. Waislamu hawakuwa na uhusiano mzuri na serikali zoote za CCM zilizowahi kuwepo kwa sababu mbalimbali ambazo wengi humu mmezisikia.
  Kwa hiyo kundi hili lingekuwa "free votes" kwa CDM kama ingechanga karata zake vizuri. Kama kawaida ya wana CDM wa JF wakaporomosha matusi wakiamini hili ni kundi la kupuuzwa na kwamba CDM yaweza kushinda bila kura zao.
  Hii falsafa ikaingia kwenye vichwa vya viongozi wa CDM nao wakawapuuza waislamu na kuwakumbatia waziwazi wakristo! Mfano ni pale Slaa alivyomjibu kwa kiburi Mufti bila kujali kuwa anaongoza kundi kubwa ambalo naye anataka kura zao na pengine awe Rais wao!

  Kwa Ujeuri huu na dharau na kejeli za CDM, waislamu sasa wameungana kwa mara ya kwanza, na wanaweza kuwa very influential voting bloc! Na kwa hiyo kuweka mazingira magumu kwa CDM kushinda!

  Kwani kuna ubaya gani kama CDM kwenye mkakati wao wa kudai katiba kama wange weka pia swala la mahakama ya kadhi? Mbona Mrema aliliona hili? Mbona Kenya kwenye wakristo wengi zaidi wameliweka hili? si ingekuwa harmless concession?

  Nimetumia hiyo heading kwa sababu huu mgogoro (cloud) wa CDM, serikali na WAISLAMU umeanikiwa kuwaunganisha waislamu (silver lining)! BAKWATA na taasisi nyingine za kiislamu sasa wanakaa jukwaa moja wakiwa na agenda moja! Hili halikuwepo!
   
 2. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kumbe ni dini? napita
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Natamani hii thread ingesomwa na Dr.Slaa.
   
 4. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Umekwepa hoja ya msingi. katiba mpya ndio, kwa manufaa ya nani? Umeanza na CHADEMA, kwa hiyo katiba mpya kwa manufaa ya Chadema? Unaposema vijana, unalenga kundi lipi? Wale mnao jifanya wasomi humu JF au wale mnaowatukana kila siku wauza kahawa na kashata?
   
 5. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #5
  Mar 31, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180

  Pamoja na kuwa ni siasa, lakini usikubali kupindisha taratibu ili kuridhisha kundi moja. Suala la Mahakama ya kadhi, ni suala la kikatiba, kiimani, na kisera. Pia ni suala la kiutu. Sio la kukimbilia umaarufu kirahisi...
   
 6. Joyum

  Joyum Senior Member

  #6
  Mar 31, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :bored:
   
 7. k

  kayumba JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ni waislam wapi na wakristo wapi unaowaongelea hapo kwenye red!

  Sisi huku mitaani tunapoishi mbona sijasikia mkiristo anayeiunga Chadema mkono kwa vile tu ni mkristo au Muislam asiyeiunga Chadema mkono kwa vile tu ni Muislam.

  Watu wanaoishabikia Chadema ni dini zote, na binafsi naamini si kwa sababu Chandema wana sera nzuri sana bali ni kwasababu wote wamechoshwa na CCM na Chadema ndiyo inaonekana bora kwa sasa.

  Huu udini udini sijui kama utatupeleka twendako salama???????

  Hiyo mahakama ya Kadhi unayotaka Chadema waiweke, waiweke wapi wakati katiba ni ya wananchi? Kumbukeni katiba ni yetu wananchi hivyo kama tunataka mahakama ya Kadhi wakati wa kuandika katiba mpya tutaiweka.

  Ndiyo maana tunataka wawakilishi wa dini wawepo katika halo baraza la kutunga katiba!
   
 8. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Acha kujidanganya ndugu yangu, embrace reality! Hakuna muislamu yeyote ambaye hana maslahi binafsi na chadema kama Zitto na Arfi anaweza kushabikia Chadema kwa sasa!
  Chadema wangekuwa wanataka uungwaji mkono wa jamii ya Kiislamu SLAA asingekuwa jasiri vile kumkashifu kiongozi wao!
  Huu Ujinga unaua Chama Chenu!
   
 9. J

  Joblube JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mimi naona wewe ndio mpumbavu kwangu mtu anyeshabikia udini amepitiliza ujinga na kuwa mpumbavu kama wewe.
   
 10. N

  Nonda JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Atapata ujumbe wako kupitia wapambe wake hapa JF.

  Wakuu wapenzi na wanaCDM hapa JF, kuna kitu hiki "ushauri sio amri"

  Badala ya kukurupuka na kauli za kejeli au matusi mnapopata ushauri ni vyema mkapata muda mkafikiria juu ya ushauri uliotolewa....kama mnauona ni ushauri mzuri mnaufanyia mikakati ili kukisaidia Chama chenu, kama mtaona ni ushauri usio na manufaa basi mnaupotelezea!

  Wako watu wengi wanasoma humu JF na mnapo- brush off kila kitu kwa matusi au kejeli basi hamkisaidii Chama chenu ni kinyume chake mnakipunguza nguvu na kuwakimbiza baadhi ya "would be members".

   
 11. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2011
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mufti yule katumika kuwaprovoke kina Slaa na Slaa acting like an adolescent girl responded in highly disrespectful way (understandably on his part because the provocation warranted it), unfortunately to the political detriment of his party and himself. I said it before, SLaa and CDM pissed into the wind on this one..
   
 12. FiQ

  FiQ JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Acha uongo mm mbna ni muislam na naikubali chadema!cdanganyiki na propaganda za udini huku mafisadi wanazidi kuimaliza nchi yetu. Then unazungumzia kiongozi yupi wa waislam?huyo mufti na Bakwata yake wote ni mafisadi tu wanaohujumu uislam na kufuja mali, uliza ruzuku na misaada ya Bakwata kwa mwaka ni sh. Ngapi na zinatumika vp, waambie wakupe programme moja tu endelevu ya kuwaendeleza waislam kielimu, hakika hawana!waulize Bakwata mpaka sasa wana university ngapi?hv umewah kuwaza wazungu wanaotoa msaada wakristo wakajenga vyuo na waarabu huko arabuni wanaosaidia waislam wapi ni matajiri?je Bakwata haipati msaada kutoka nchi za kiarabu? Ujue hawana mipango endelevu na hawajui waombe msaada gani,waufanyie nn na kwa wakati gani wao kila cku porojo tu.Na kwa ukosefu wao wa elimu ndio wanamshabikia Jk na mafisadi wazidi kuimaliza Tz. Tuulize vijana kama mm tuliosoma islamic seminary za ukwel na sio haya mashule feki ya Bakwata, Acheni uzushi wa udini Chadema inatetea haki za wa tz wote bila kujali dini. Vivaaaa CHADEMA.
   
 13. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #13
  Mar 31, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Umenichekesha sana ndugu, MAUA seminary ni Islamc? Hayo mawazo yako ni ya kitimoto na mbege!
   
Loading...