Evelyn Salt, Happy Birthday to you!

Evelyn Salt, Happy Birthday to you!

Happy Born Day he he he hongera kuna mtu kasema Kaka hongera mmmhhh haya bana sherekea vema nitakuletea 'Mtokoi' jioni nikishafungua
 
Happy Born Day he he he hongera kuna mtu kasema Kaka hongera mmmhhh haya bana sherekea vema nitakuletea 'Mtokoi' jioni nikishafungua

Hahaahaa in Mimi huyo nlosema kaka nilikuwa namwambia kiwatengu kwakuwa bdy yake imenipita Dena Amsi umenipata ? Aff na wewe Evelyn Salt unapata wapi idhini ya kumhojisha mtu maswali yanakuhusu nini mambo ya brazzzuka
 
Last edited by a moderator:
Kila inapo pita happy birthday ndivyo unavyo zidi kusogea karibu na happy death day
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom