Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,672
- 167,737
Kwako dada Evelyn Salt, ninazo sababu za kukumbuka leo; leo ni siku ambayo unaazimisha siku ya kuzaliwa kwako.
Happy Birthday, Evelyn Salt! Mungu akukirimie wingi wa miaka, uone wana wa watoto wako, akupe heri ya kuona wana wa wajukuu zako na afya tele.
Happy Birthday Evelyn Salt!
Ahsante sana twin angu Wimana
happy birthday na kwako pia.....
Last edited by a moderator: