Kwani ufisadi unafanywa hadharani? Kama tulijua hatuwezi kufuatilia ushoga majumbani mwa watu why then tulitengeneza hiyo sheria dhidi ya ushoga? What is the point?
Nipatie hiyo sheria inasema kuwa ukifanya ushoga nyumbani ni ruksa. Sheria inakataza ushoga mahali popote pale whether in private or in public. Na sidhani kama utamaduni unauzungumzia inasema ni ruksa kufanya ushoga in private.
If that is the case what is the point of having sheria, mahakana na magereza kudeal na watu wanaofanya ushoga? Tofatuisha kati ya sheria na morality. Huwezi ukatengeneza sheria halafu useme eti mahakama zisi-enforce hiyo sheria bali bali social capital itafanya hivyo. Mahakama zipi pale ku enforce sheria zote including za ushoga.
Kwani serikali yenyewe hawajui?
Kwa hiyo unasuggest ushoga ruksa so long hakuna kufunga ndoa? Is that your point? Unfortunately, sheria haideal na wale mashoga wanaofunga ndoa tuu. Nikupe tuu mfano, kifungu cha 154 cha sheria za makosa ya jinai kinasema kuwa "Any person who (1) has carnal knowledge with any person against the order of nature, ...... (3) permits a male person to have carnal knowledge of him or her against the order of nature, is guilty of a felony, and is liable to imprisonment for fourteen years. Ukiangalia hapa mpaka tigo zimepigwa marafuku kisheria.
Hapo ume speak in new toungues sijakuelewa hata kidogo mara unaniuliza nipatie hiyo sheria inayokataza ushoga hapo hapo unanitajia mwenyewe; tena sijui kama kuna sehemu nimesema kuna sheria inayoruhusu ushoga chumbani....Pia unanishangaza wapi nimesema wakifunga ndoa ndo sawa wasipofunga ndoa siyo? Dont take words directly bila kuangalia context bwana!
Unafananisha rushwa na ushoga wakati rushwa inakuwa exchanged na media money ama in kind (service...) kuna noti za moto na one person kwenye rushwa anakuwa victim na mwingine beneficiary while kwenye ushoga kila mmoja ni beneficiary sasa nani ataenda kumshitaki mwenzake..Ushoga uko more controled na endogenic factors wakati rushwa zinakuwa facilitated na both endogenic plus exogenic na hizo exogenic ndizo tunazoweza kuzi control zaidi..
Pia ujue sheria si hesabu za kujumlisha na kutoa kwamba iwe na one and exact meaning kama ingekuwa hivyo tusingekuwa na hao ndugu zetu learned society kututafsiria na pia haziwezi kuelezea kila kitu in our lives in a comprehensive maner..mengine yanabaki kulindwa na social capital zaidi kuliko hizo sheria na ndiyo maana hasa tukawa na institutions kama schools, ritual places etc ku-shape our behaviour (endogenic) ili tuweze kuishi kwa maelewano.
Niwapi kwanza mashoga Tanzania wamenymwa haki zao? Wote wanatambuliwa kama raia na wanapata services zote kama mm na wewe tunavyopata zetu au unataka wapate zaidi ya wengine? Sisi hatutambui Identity ya ushoga kama humanbeings tuna raia wanaume na wanawake; hatuna nominal ushoga ila tuna activities za ushoga ambazo ziko categorised kwenye unwanted/evil things nazo kwavile ziko ndani ya mtu na si rahisi kuzitambua tume device mechanism za behavioural change zaidi kuliko imprisonment.
Aah kwanza acha kunichosha na mambo yako hayo ningekuwa mm rais ninge dictate kwanza alas...Utanifanya niende out of range bure nikupe neno usilo stahili maana hilo tendo nilichafu na linaudhi maana linatudhalilisha sana ss wanaume..Imagine eating pupuu!