Evarist Chahali: Mbona shoga aliteuliwa kuwa kiongozi wa umma Tanzania?

Ingawa siungi mkono kuhalalisha ushoga TZ, lakini hii habari is an eye opener na ningefurahi kama ingeaandikwa kwenye magazeti ya Tanzania.

Kwanza tumefahamu kwamba Cameron alikuwa anawakilisha mawazo ya wananchi wake ambao ndio pesa zao zinatumika kutupatia misaada, Cameron ni kiongozi mzuri kwa Waingereza because anawakilisha masilahi yao.

Pili tunaomba viongozi wetu including Membe na JK, watuambie kama UK itatunyima hiyo misaada je hilo pengo watalifidia vipi? Haya ni maswali magumu ambayo inabidi tuwaulize viongozi wetu.

Tatu huyo kigogo anayesemwa na Chahali aliwahi kuwa mkurugenzi wa PPF, baadaye ATC na amestaafu mwaka huu tu kwa majivuno makubwa, anafahamika sio SIRI.

Mwisho na mimi nitaficha identity yangu kwa kutotaja majarada ya kisayansi. Lakini niliwahi kufanya utafiti wa Men having Sex with Men (MSM) na Heterosexual Anal Sex (HAS) hii ya pili haihusiani na ushoga. It is known scientifically that MSM and HAS fuel transmission of HIV. Tulitaka kujua incidence ya vitendo hivi Tanzania ili TACAIDS iweze kupanga intervention strategies targeting those "special" groups. Tulitumia method inayoitwa SNOW BALL. Believe it or not tulikuta MSM and HAS was more prevalent mikoa ya Pwani na Zanzibar and respondents said that, those practices are common in those areas (Read TACAIDS reports). Hakuna mtanzania ambaye hajasikia, banda la uwani, TIGO, Ma-Aunty Moddy etc

Hivyo vitendo vipo na serikali imevibariki kimya kimya. Kama kweli serikali inapinga ushoga to which I support basi ipinge kwa vitendo sio kwa maneno ya majukwaani.
Jamani kuna wengine tulikuwa hatuishi hapo Tanzania miaka hiyo, kwanini msiwataje tu ili tuwajuwe....kwani usenge si ni chaguo lao wenyewe? Dar kuna mabwambwa wengi mno, tunaomba mtueleze ni nani hawa?
 
Ukimbie mtaa kisa maamuzi ya mtu binafsi ?

Sema unataka connection wewe

Sent from my TECNO WX3P using JamiiForums mobile app
Sasa akija kukutongoza ili umle uroda je? Si unajuwa wasenge wengi huwa akili zao zimezibuka na wanapenda kujionyesha huku wakijisifia kuwa wanaweza pata mwanamme yeyote wamtakaye. Unaweza kuwa unapiga story na mkeo ama demu wako anakuja shoga aliyekuzoea na kukubusu mbele ya mkeo au watoto wako huku akikuambia leo lazima ukanile nimekuvumilia nimeshindwa naona mkeo anakufaidi tu peke yake. Dar tunaishi kwa machale sana na wanaume wenzetu na ndiyo maana wengine hatupendi ukaribu sana na wanaume wenzetu huku mitaani.
 
Inategemea umejiwekaje.

Yaani from nowhere mtu aje kuleta shobo na wewe unamuangalia tu?

Sent from my TECNO WX3P using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom