Unawakubali wale wa ukweli wa kuwatolea bastola wakina nape na smg za kuwaulia wakina lissu.huyu mwanausalama feki sijawahi kumkubali.
Kwani alojitambulisha kuwa Yuko New Zealand ndo mleta mada? Kasome wewe watu wanazo data mbona mleta mada anajulikana sana tu.....Someni basi habari muielewe ndiyo mkimbilie ku comment......''ni mtanzania, naishi New Zealand....''..........Wewe kwenye hiyo bolded red umetoa wapi??
Wanajifanya wako upande wetu muda huu, ili tuwaamini, tuwape siri zetu ili wawapelekee mabwana zao waje watutupe kwenye viroba, kwa kifupi awakosoi kwa dhati haoMnafiki katika ubora wako. Wewe na Mwanakijiji mlimfanyia kampeni Magufuli leo mnalalamika nini? Tulieni dawa iwaingie kisawa sawa
CCM wacheni hujuma. kwahiyo msaliti wa nchi mkamlipa fedha awafanyie kampeni kwenye mitandao?hata kama huyó chahali hakuasi taifa na alikuwa anasomeshwa huyó kwao ifakara leo anajifanya analipenda taifa kisa umetajiwa nchi tofauti anayoishi je hakulitia hasara taifa kwa kuwa kibaraka wa wazungu kutoa siri za taifa unamtetea
Iwe mfia nchi, labda pia ni beneficiary wa mfumo.. Mnapata wapi mabilioni ya kurudia chaguzi tena kwa muda mfupi angali wastaafu mnawaweka bila mafao yao kwa miezi 9 mpaka mwaka?Kwahio wataka kusema ikifika time fulani wanagawana kama bilioni 3 hivi na maisha yanaendelea, siyo?
Yaani kwa mfano yule gavana wa BOT mzee Florens Luoga ameingia pale baada ya Ndulu kuambiwa apishe jikoni.
Halafu yule Dr Phillip Mpango eti ni jasusi la kutukuka.
Hivyo ikifika time watu wanagawana pesa na yule jamaa wa TRA anaulizwa figures za kila mwisho wa mwezi.
Halafu eti mkulu mwenyewe fikiria, shahada ya kanza DSM, Shahada ya uzamivu DSM na Phd ni DSM, usiidharau sana DSM.
Haya ni maneno yanazungumzwa mitaani hivyo sishangai hayo madai yako.
Wewe kama ni raia wa kawaida rejea ulichokiandika hapo juu ,hivi unaona kila mtu mpumbavu humu ?Mimi ni rai wa kawaida na mdau kama wewe.
Ila ninayo haki ya kupinga kwa hoja alichoandika ndugu Evarist Chahali.
Mkuu, Evarist Chahali
Kwanza nipende kukukumbusha kwamba wewe sasa hivi huwezi kuaminiwa na nchi kama unafaa tena kuwa mlinzi wa taifa kutokana na rekodi yako ya huko nyuma.
Na hiyo sio sifa ya wanajumuiya wa zamani.
Upo ushahidi wa kutosha Magufuli na makonda wapi kwenye mission ya kuendesha mauaji ukiona mkoa gani watu wanakufa kama kuku hao ndio watoa Amri we never thought kaapishwa banyamulenge
Ni muhimu kukemea maovu yote yanayotokea nchini mwetu.
Isitishe ni muhimu pia kukemea mauaji ya Daniel John, msichana Aquilina, mashambulizi risasi kwa mbunge Tundu Lissu na upotevu wa watu wengi kwa kutupwa kwenye viroba.
Pia ni muhimu kukemea utakaji na kupotezwa kwa watu kama Ben Saanane.
Lakini hakuna ushahidi wala majivu ya utekezaji wa ushahidi huo unaoinganisha serikali au kiongozi yoyote yule wa nchi.
Sisi raia tunabakia tu kudhani au kuamini kwamba ni wao wanahusika.
Freeman Mbowe siku zake za kubainika uovu anaoutenda na uhuni wake wote zinakaribia.
Tutakuja tena hapa kutoa ushuhuda.
Magufuli anapaswa kuondolewa ikulu Mara moja