***Euro2008***

kwa kweli haya mashindano ni mazuri sana!kila timu nyingi zinatisha hapa bingwa sijui atakuwa........
 
sweden nao wamejichapia mabingwa watetezi bao zao mbiliii ibrahimovic maskini ya mzungu ndo bao lake la kwanza kwa timu yake ya taifa baada ya miaka mitatu kupita...alikua ana ukame...

ila spain wameshow wanakasi nzuri sana watafika mbali kwa kweli
 
nawashangaa wanaojipa moyo kuwa france wanaanzaga hivyo hivyo pole pole sijui wana habari kuwa hapa ni mechi tatu tu zachezwa then u get to fungasha virago kurudi home if ur among de top two teams in ur grp??!!maana nadhan kuna watu wanafikiri ni kama ligi sijui home n away!!sintoshangaa wakipita romania na wadachi
 
France waliochoka na kula chumvi nyingi wako wengi na ukitilia maanani kundi walilokuwemo ni gumu sitashangaa wakifunga virago mapema au kuendelea kwa kusuasua. If this country get the win against that country, then France will be in, huo hata siku moja si ushindi wa kujivunia.
 
Im 100% sure the Azzuri will bounce back and win this trophy, what happened yesterday was a wake up call, expect them to raise up their game from the next match.
 
Im 100% sure the Azzuri will bounce back and win this trophy, what happened yesterday was a wake up call, expect them to raise up their game from the next match.

Let's wait and see but their confidence, if they had any, has been reduced by a few percentage points.
 
Hawa RUSSIA si bora wangewaacha ENGLAND waingie
but SPAIN wamecheza fantastic football
 
Pity, the co-hosts are out, they gave their best but unfortunately it wasnt good enough, injury time turkish winner has dumped them out, their last remaining game is meaningless now, 2-1 final score.
 
Pity, the co-hosts are out, they gave their best but unfortunately it wasnt good enough, injury time turkish winner has dumped them out, their last remaining game is meaningless now, 2-1 final score.

mwingine anatolewa kesho (Austria), labda miujiza itokee.
 
kazi kweli kweli mwenyeji afungashwa virago asubuhi mapema!
 
yan ni aibu bin...... wenyeji wote watakua ndo timu za kwanza kutolewa kwenye mashindano hayo!!looh!!
nimesoma kwenye web ya uefa if turkey na czech wakidraw in last match mechi yao itaamuliwa kwa penaltiz kupata wa ku proceed!!!soon after dakika 90!!i never knew abt dat sheria!
 
Half-time!!!!

Croatia 1 - 0 Germany.

Mwenzenu naenda kulala..sijui kama yatabadilika!
 
Leo Ujerumani wamepatikana 2 - 0 sasa, na bado Croatia wanaonyesha nia ya kufunga zaidi huku wakilinda lango kwa nguvu zote.
 
Back
Top Bottom