***Euro2008***

nyie mnaojipa moyo na mwendo wenu wa france wa ki mdebwedo huuooo nawapa pole...maana de next teams watazo face sio ka romania...ukizingatia italy wamesha luz game ya kwanza tatu bila sijuiiii ila naanza ona uwezekano wa wadachi kupita hata na romania!
 
nilisikia comment ya watangazaji kuwa timu ya italy ina wachezaji sijui wawili sijui watatu tu under 25 yrs....loh kweli ni shikamoo jazz!
 
Total football is back.

Holland overall have been fantastic but Kuyts performance has been brilliant.

Italy wakiifunga Romania, France watakuwa na shaka kuu.
 
belo
ndio maana nikamwambia mama kuwa angeanza the The Blues nikiwa maana katika ile nafasi ambayo ametugea sisi AZZURI basi angewapa The Blues,halafu hawa wajeruman huu mwaka sio wao kabisa,yaani mapema watapumzika,kuhusu wahispaniola mie sisemi ila nawahofia

kana ka nsungu tupo pamoja na AZZURI wetu?

Azzuri vipi tena jamani, imekuwaje leo? naona mlileweshwa kisawasawa na muholanzi, poleni jamani ndio game lenyewe hilo mwee!
 
Azzuri vipi tena jamani, imekuwaje leo? naona mlileweshwa kisawasawa na muholanzi, poleni jamani ndio game lenyewe hilo mwee!
Mama nakuambia football si mchezo sasa kina Azzuri watakuwa wanalia tu!ila ndo hivyo tuwape moyo!
 
Azzuri vipi tena jamani, imekuwaje leo? naona mlileweshwa kisawasawa na muholanzi, poleni jamani ndio game lenyewe hilo mwee!

Mama vipi mambo? Mie nilisema (angalia post # 25), kwamba kwenye dakika 90 za kabumbu chochote kinaweza kutokea. Sasa margin of error ya Italy imekuwa ndogo sana, wale waliopewa nafasi kubwa ya kutwaa Euro cup 2008 sasa wanasua sua, lakini bado wana nafasi kama watafanya vizuri katika mechi zao mbili zilizobakia.

Germany for EURO 2008 champion! Spain second, Italy third

In Football anything can happen during those 90 minutes....:) I would like to see entertaining football. I wish England were there too...:(
 
Mama vipi mambo? Mie nilisema (angalia post # 25), kwamba kwenye dakika 90 za kabumbu chochote kinaweza kutokea. Sasa margin of error ya Italy imekuwa ndogo sana, wale waliopewa nafasi kubwa ya kutwaa Euro cup 2008 sasa wanasua sua, lakini bado wana nafasi kama watafanya vizuri katika mechi zao mbili zilizobakia.

In Football anything can happen during those 90 minutes....:) I would like to see entertaining football. I wish England were there too...:(

Mambo poa Bubu.

Kweli kandanda dakika 90, lkn waitaliano nafasi ubingwa mwaka huu sidhani, labda miujiza ya kisoka itokee. After the second matches among groups mambo ndio yatakuwa matamu hasa kwa hili group la kifo si mbali ni tarehe 13 tu.

I am glad England are not there, the game gets sweet wthout them
 
LOL!...Mama!....:) Nazipa nafasi kubwa Portugal, Germany na Holland.
 
wale washabiki wa azzuri sijui ajuzaz wako wapi humu jamaniiii??mbona kimyaa??
 
Danke Holland!!Endlich haben die Spaghettilutscher mal eins auf die Fresse bekommen.

Washindi wa EC watatoka Germany, Portugal, Holland
 
wale washabiki wa azzuri sijui ajuzaz wako wapi humu jamaniiii??mbona kimyaa??

Ata mimi naangaza macho siwaoni..washabiki wa ''ukubwa dawa'' mpoooo?, mr kiroboto na wenzio ''apo vipi?''...

TBC 1 advertise kibaooo kumbe game 8..GOSHHHHHHH!!, Kwa sisi ''wajasiliamali'', tutaishia kusimuliwa tu game zote manake ata kwenye sports news wanatoa still pictures!!
 
Namtafuta best yangu mr kiroboto simuoni humu ndani leo!!, sijui atatueleza lipi manake yeye ni azzuri dam dam, au ni mwanzo tuu?, manake hata MANUTD msimu wao walianzaa kwa kulega lega wakaja chukua kombe, is it?

Still nafikiri Portugal na France wananafasi!!, tusiwasahau wa-holland pia!!
 
azzuri jana,leo na kesho....usidanganyike na hizo goli tatu coz safari bado mdogo wangu
 
Ha ha, kuna mtu yoyote ameona Gazzetta Dello Sport? wameandika Holland wametupa somo....sitoshangaa kama Azzuri wakitolewa mapema...alafu anayesema France wanaanzaga slow unakumbuka World Cup 2002? Slow start wakati una mechi tatu kama ni strategy kuna kazi.

Naona Spaniards wanaongoza...
 
kwani mmesahau world cup 2006?france walianzaje?any way hii ni football mpira unadunda!
 
Back
Top Bottom