Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Spain have created the most big chances at #EURO2020 so far [8] but have scored just 1 of them.

It won’t quite click for Luis Enrique’s side.

#EURO2020
 
𝙍𝙤𝙗𝙚𝙧𝙩 𝙇𝙚𝙬𝙖𝙣𝙙𝙤𝙬𝙨𝙠𝙞 𝙝𝙖𝙨 𝙚𝙣𝙩𝙚𝙧𝙚𝙙 𝙩𝙝𝙚 𝙜𝙖𝙢𝙚.

He dominated Aymeric Laporte in the air

Lewandoalski's 67th goal for Poland

#EURO2020
IMG_20210620_092922_389.jpg
 
Nilikuwa sijatambua hii kitu, kumbe ndio hivyo..

Niliiona kwenye ligi zao kubwa, kumaliza ligi siku moja na muda mmoja.

Wenzetu wako juu sana kila sehemu, loophole za hovyo hovyo wanazifukia
Fifa ilitengeneza sheria hiyo baada ya Mashindano ya Kombe la Dunia la mwaka 1978 zilizofanyika pale Argentina na zile zilizofanyika 1982 pale Spain timu nyingi kwenye mechi za mwisho za makundi zilikuwa zinapanga matokeo, hivyo ikaamuliwa ili kuepuka kupanga matokeo, mechi za mwisho zifanyike muda mmoja.
 
Kwamba maswahiba walibebamana na mahasimu wakakomoana.

Walifanya vyema kuweka hii sheria
 
Back
Top Bottom