Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

h_57026999.jpg
 
England hawana timu nzuri, na mchezo wao ni wakubahatisha bahatisha tu. Hiyo hatua wamefika kimizengwe tu. Muller aliwasaidia sana
Timu ina nyota kama Jack Grealish,Mount,Foden,Harry Kane,Shaw,Trippier,Walker,Sancho,kivipi inakuwa siyo timu nzuri?..

Tunataka kusema Denmark wana vipaji vikubwa kushinda Uingereza?..
 
Mkuu Puttin, Italy wako on kwa sasa....sema wamekutana na wasakata mpira wa kispain, na spain ya sasa sio ile ya miaka ya nyuma ya akina xavi, torres na iniesta, aise mbona italy angekula nyingi!


Top 5 yangu bora kwa sasa
1 Italy
2 Spain
3 Denmark
4 Belgium
5 Germany

Umeongea ukweli mtupu mkuu, ila pamoja na kufungwa jana spain walikuwa na mpira mzr sana jana, naamini wakijipanga vzr wanaweza kurudi kuwa fire kama enzi za hao manguli uliowataja,.
 
Mkuu Puttin, Italy wako on kwa sasa....sema wamekutana na wasakata mpira wa kispain, na spain ya sasa sio ile ya miaka ya nyuma ya akina xavi, torres na iniesta, aise mbona italy angekula nyingi!


Top 5 yangu bora kwa sasa
1 Italy
2 Spain
3 Denmark
4 Belgium
5 Germany

Ingawa Denmark leo atakuangusha mkuu.
 
Jana kila timu ilikuwa ikicheza aina ya mpira wao, Spain kacheza mpira wao wa tiktak wakati Italy wamelazimika kutawalia na kupaki basi ili kucheza mpira wa counter attack na pengo la spinazzola limeonekana kwa Italy
Kweli mkuu, sema final anaweza akapigwa booster akacheza
 
Back
Top Bottom