Spain hao hao walibeba ndoo ya Euro 2012 bila ya kuwa na straikaNa yeye anawajua vyema
Kama huna striker nini faida ya kupeleka mipira ndani ya box?
Walifungwa hata na Austria na Belgium pia... England ndio bado hawajaruhusu hata goli 1Kazi ishakuwa ngumu kwa spain. Italia hawajafungwa hata goal 1 kwenye hii euro
Walikuwa wameshafungwaKazi ishakuwa ngumu kwa spain. Italia hawajafungwa hata goal 1 kwenye hii euro
Makali ya jembe huonekana shambani....Goal - MORATA
Assist - OLMO
Italy 1-1 Spain (80 mins)
#EURO2020
na ile ya belgium, hawakutoka 2-1?Kazi ishakuwa ngumu kwa spain. Italia hawajafungwa hata goal 1 kwenye hii euro
Huyo jamaa anabahatisha hajui kituna ile ya belgium, hawakutoka 2-1?
Hata na Austria walitoka 2-1na ile ya belgium, hawakutoka 2-1?
Wamekusikia ametolewaIsigne hajawa na mechi nzuri sana leo
Yah mkuuWamekusikia ametolewa