EURO 2016 AWARDS; Ronaldo hajaambulia tuzo hata Moja

ww mtoa mada sijua mpira umeanza shabikia mwaka huu hapo kama n kwe categories yupo sehem mbil kwe golden ball na golden boot ulivyoandika utasema n tuzo ishirin kakosa kumbe n hzo mbil au ulitaka awe young player of the tournament
 
kwa kweli anduje messi ana wakati mgumu sana sio ajabu hatima yake kisoka ikaishia hapa. kupigwa fainali ngazi ya taifa tena tatu si mchezo
 
Back
Top Bottom