EURO 2016 AWARDS; Ronaldo hajaambulia tuzo hata Moja

Babu wa Kambo

JF-Expert Member
May 2, 2016
559
808
Hatimae juhudi za Vyombo vya habari vya Uingereza kutaka kutengeneza namna Cristiano Ronaldo aonekane anafanya vizuri katika Mashindano ya kimataifa zimegonga mwamba baada ya Washindi wa Tuzo mbalimbali za EURO 2016 kutangazwa ambapo Ronaldo hajaambulia chochote

Mission ya kulazimisha kumkuza Ronaldo dhidi ya Messi imekwama. Atabaki tu na Historia ya kufunga Magoli 3 Mechi zote mpaka Mashindano yanaisha

Washindi wa Tuzo hawa hapa
1468242466758.jpg
 
CR7 kwenye individual achivement hakuna ambacho hajatimiza ila alibakiza hili ambalo jana kalitimiza na ndio maana kwa muda mrefu watu wamekua wakilaumu kua pamoja na mafanikio yake kwenye clubs sio lolote kwenye timu ya taifa ila jana kamaliza fitina.
Kwangu kubeba ndoo jana ni kila kitu kwa CR7 naamini hata yeye ndoto yake ilikua kufanya lile alilofanya jana akiwa captain wa Ureno.
ImageUploadedByJamiiForums1468244182.909179.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1468244213.594109.jpg

Hizi picha zitabaki milele kwenye kumbukumbu za CR7 na Wareno.
 
Hatimae juhudi za Vyombo vya habari vya Uingereza kutaka kutengeneza namna Cristiano Ronaldo aonekane anafanya vizuri katika Mashindano ya kimataifa zimegonga mwamba baada ya Washindi wa Tuzo mbalimbali za EURO 2016 kutangazwa ambapo Ronaldo hajaambulia chochote

Mission ya kulazimisha kumkuza Ronaldo dhidi ya Messi imekwama. Atabaki tu na Historia ya kufunga Magoli 3 Mechi zote mpaka Mashindano yanaisha

Washindi wa Tuzo hawa hapa
View attachment 365220
Kombe ni muhimu kuliko kingine chochote
 
Cristiano kama Lipumba tu, anawakimbia wenzake halafu baadae anataka aje achukue ujiko kirahisi
Mkuu hata mimi nilitaka France ibebe ndoo lakin mwenzangu utakuwa umeumia Sana!!
Cr7 ni habari nyingine amefikia record ya Michel Platin ya ufungaji Ulaya ambayo kwa hakika ataivunja!
Ballon D'or likely itaenda kwake pia utaumia sana!! Cr7 ni genius wa football!! Bora umzoee tu!
 
France wachezaji wake wawili wametwaa tuzo na ureno mchezaji mmoja katwaa tuzo ya siku kisha kwa ujumla wao wareno wameonyesha kwapa sasa hapo utapata picha.
 
Messi akiangalia hizi atakua anaumia sana.

Mbaya zaidi mwaka huu wote walikua kikaangoni Messi(Copa America) na CR7(EURO) na Messi alikua favourite kwa kumaliza nuksi na timu ya Taifa ila at the end CR7 ameandika historia naamini Messi imemuumiza pia.
 
Hatimae juhudi za Vyombo vya habari vya Uingereza kutaka kutengeneza namna Cristiano Ronaldo aonekane anafanya vizuri katika Mashindano ya kimataifa zimegonga mwamba baada ya Washindi wa Tuzo mbalimbali za EURO 2016 kutangazwa ambapo Ronaldo hajaambulia chochote

Mission ya kulazimisha kumkuza Ronaldo dhidi ya Messi imekwama. Atabaki tu na Historia ya kufunga Magoli 3 Mechi zote mpaka Mashindano yanaisha

Washindi wa Tuzo hawa hapa
View attachment 365220
mkuu kikubwa kilikuwa ni ndoo hvyo vngine vinasahaulikA tu
 
Hatimae juhudi za Vyombo vya habari vya Uingereza kutaka kutengeneza namna Cristiano Ronaldo aonekane anafanya vizuri katika Mashindano ya kimataifa zimegonga mwamba baada ya Washindi wa Tuzo mbalimbali za EURO 2016 kutangazwa ambapo Ronaldo hajaambulia chochote

Mission ya kulazimisha kumkuza Ronaldo dhidi ya Messi imekwama. Atabaki tu na Historia ya kufunga Magoli 3 Mechi zote mpaka Mashindano yanaisha

Washindi wa Tuzo hawa hapa
View attachment 365220
Bila shaka kabsa wewe ni teamMKWEPA KODI! Haya mapovu kama umemeza OMO ya BUKU sio bure,

CR7 kawashika masaburi!

Jamaa bado sana mzoeeni tu maana ANDUNJE ndio keshajifia hivyo,
 
Alipewa kiatu cha silver ila akaamua kumpa luis nani vipi messi alitoka n nn kwny copa america
 
team urenoooo!!!! cr7 babyyyyyyyy!!!!
kusoma kuelewa kukesha mbwembwe tu!!
 
Bila shaka kabsa wewe ni teamMKWEPA KODI! Haya mapovu kama umemeza OMO ya BUKU sio bure,

CR7 kawashika masaburi!

Jamaa bado sana mzoeeni tu maana ANDUNJE ndio keshajifia hivyo,
hahahhhaaaaaahhaaaa!!!wanajifariji kidogo!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom