Yaliyojiri katika tuzo za Ballon D'or 2021

Dr Restart

JF-Expert Member
Jul 15, 2021
3,264
17,019
Leo ni usiku maalum wa utolewaji wa tuzo maalum za Ballon D'or mwaka huu wa 2021.

Mshehereshaji wa shughuli hii ni aliyekuwa mchezaji machachari wa Chelsea na Ivory Coast, Didier Drogba.

.Tuzo ya kinda anayeinukia imeenda kwa mchezaji Pedri wa FC Barcelona. Hapo majuzi alishinda tuzo ya Golden Boy.

.Tuzo ya mshambuliaji hatari imenyakuliwa na Roberto Lewandowski.

.Tuzo ya mchezaji bora wa kike imeenda kwa Alexia Putellas (27) wa FC Barcelona. Alifunga jumla ya mabao 35 na assits 19.

.Tuzo ya Golikipa bora (Yachne Trophy) imenyakuliwa na Donnarumma (22), mshindi wa EURO 2020 na mchezaji bora wa michuano hiyo.

.Tuzo ya klabu bora ya mwaka imeenda kwa Chelsea FC ya nchini Uingereza. Ilijinyakulia kombe la Mabingwa Ulaya (UEFA CL).

Mchezaji bora wa Mwaka wa Ballon D'or imenyakuliwa na Lionel Messi (34) wa PSG na timu ya taifa ya Argentina. Aliisaidia taifa lake kushinda kombe la Copa America na kuchaguliwa kuwa mchezaji bora wa mashindano hayo. Hii ni mara yake ya saba kushinda tuzo hii maarufu zaidi duniani kwa wachezaji wa Soka.

TOP 10 FIFA RANKING:
10. Gianluigi Donnarumma
9. Kylian Mbappe
8. Kelvin De Bruyne
7. Mohamed Salah
6. Cristiano Ronaldo
............................................
5. Ngolo Kante
4. Karim Benzema
.................
3. Jorginho
2. Lewandowski
1. Messi
 
Leo ni usiku maalum wa utolewaji wa tuzo maalum za Ballon D'or mwaka huu wa 2021.

Tuzo ya kinda anayeinukia imeenda kwa mchezaji Pedri wa FC Barcelona.

Tuzo ya mchezaji bora wa kike imeenda kwa Alexia Putellas (27) wa FC Barcelona
Link?
 
Kwahiyo tuhitimishe kwa kusema anga za Barcelona ndio vinala mwaka huu.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Leo ni usiku maalum wa utolewaji wa tuzo maalum za Ballon D'or mwaka huu wa 2021.

Mshehereshaji wa shughuli hii ni aliyekuwa mchezaji machachari wa Chelsea na Cameroon,Didier Drogba.

.Tuzo ya kinda anayeinukia imeenda kwa mchezaji Pedri wa FC Barcelona. Hapo majuzi alishinda tuzo ya Golden Boy.

.Tuzo ya mshambuliaji hatari imenyakuliwa na Roberto Lewandowski.

.Tuzo ya mchezaji bora wa kike imeenda kwa Alexia Putellas (27) wa FC Barcelona. Alifunga jumla ya mabao 35 na assits 19.

.Tuzo ya Golikipa bora (Yachne Trophy) imenyakuliwa na Donnarumma (22), mshindi wa EURO 2020 na mchezaji bora wa michuano hiyo.

.Tuzo ya klabu bora ya mwaka imeenda kwa Chelsea FC ya nchini Uingereza. Ilijinyakulia kombe la Mabingwa Ulaya (UEFA CL).

Mchezaji bora wa Mwaka wa Ballon D'or imenyakuliwa na Lionel Messi (33) wa PSG na timu ya taifa ya Argentina. Aliisaidia taifa lake kushinda kombe la Copa America na kuchaguliwa kuwa mchezaji bora wa mashindano hayo.

TP 10 FIFA RANKING:
10. Gianluigi Donnarumma
9. Kylian Mbappe
8. Kelvin De Bruyne
7. Mohamed Salah
6. Cristiano Ronaldo
............................................
5. Ngolo Kante
4. Karim Benzema
.................
3. Jorginho
2. Lewandowski
1. Messi
Drogba ni raia wa Ivory coast mkuu.
 
Leo ni usiku maalum wa utolewaji wa tuzo maalum za Ballon D'or mwaka huu wa 2021.

Mshehereshaji wa shughuli hii ni aliyekuwa mchezaji machachari wa Chelsea na Ivory Coast, Didier Drogba.

.Tuzo ya kinda anayeinukia imeenda kwa mchezaji Pedri wa FC Barcelona. Hapo majuzi alishinda tuzo ya Golden Boy.

.Tuzo ya mshambuliaji hatari imenyakuliwa na Roberto Lewandowski.

.Tuzo ya mchezaji bora wa kike imeenda kwa Alexia Putellas (27) wa FC Barcelona. Alifunga jumla ya mabao 35 na assits 19.

.Tuzo ya Golikipa bora (Yachne Trophy) imenyakuliwa na Donnarumma (22), mshindi wa EURO 2020 na mchezaji bora wa michuano hiyo.

.Tuzo ya klabu bora ya mwaka imeenda kwa Chelsea FC ya nchini Uingereza. Ilijinyakulia kombe la Mabingwa Ulaya (UEFA CL).

Mchezaji bora wa Mwaka wa Ballon D'or imenyakuliwa na Lionel Messi (33) wa PSG na timu ya taifa ya Argentina. Aliisaidia taifa lake kushinda kombe la Copa America na kuchaguliwa kuwa mchezaji bora wa mashindano hayo. Hii ni mara yake ya sababu kushinda tuzo hii maarufu zaidi duniani kwa wachezaji wa Soka.

TP 10 FIFA RANKING:
10. Gianluigi Donnarumma
9. Kylian Mbappe
8. Kelvin De Bruyne
7. Mohamed Salah
6. Cristiano Ronaldo
............................................
5. Ngolo Kante
4. Karim Benzema
.................
3. Jorginho
2. Lewandowski
1. Messi
Umepangilia mada yako vizuri sana, ila umeshindwa kutofautisha Drogba na Eto'o
 
Messi wanyooshe hao mabishoo ongeza nyingine 3 ukamilishe namba yako 10 maana namba ya yule bishoo tayari ushaifikia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom