Di Natale ni mzuri sana...Hata Wataliano wanamshangaa Prandelli kwa kumuanzsiha bechi kila mechi na kumchezesha Cassano ambaye hayupo fit,ametoka kufanyiwa operesheni ya moyo.......
Pia ni vizuri akamuingiza Diamante maepma badala ya kumuingiza dakika ya 70
Anaingia Pedro. Ningefurahi kama angeingia Simba Llorente. Raha/tatizo la Del Bosque ana wengi wa kuchagua. Pengine hata Jesus Navas na Torres wasicheze leo ikiwa matokeo hayatabadilika.
Unajua Papa ni Mjerumani. Kwa hiyo, amewachukia waitaliano kwa kuwabanjua ndugu zake wajerumani. Lazima anaombea Spain ishinde. Mambo ya ushabiki hayana mchezo bwana.