bado nyie azzuri mtageuka kuwa bahari kabisa,yaani hata kwa kurusha shilingi kombe lazima liende san sebastian,bilbao,santander,malaga,mallorca,majorca,coruna,barcelona,valencia na kisha kutua zake madrid,cc ndio namba 1 kwa soka sasa duniani hilo mnalitambua,hongereni kwa kumfunga mjerumani ambae toka balotelli kazaliwa hajawafunga! bora stars kwa misri rekodi zingine.hah hah ha Gutierez is back...
:loco: sijui nicheke sijui nilie,historia inamata,hawa jamaa niliongea hivi kwa taarifa yako ni kuwa toka balotelli azaliwe hawajawahi kuwafunga italy,pili hata kwa spain tucheze hata uwanja wowote hata 1 touch ujerumani analala,pole sana kwa ugonjwa wa moyo,karibu la roja sasa timu ya ukweli,ukiwakosa j2 jimalize kabisa,timu inayotoa burudani ya uhakika kwa sasa duniani kiasi hata Manolo el del bombo the drum alipoteana na familia yake takriban miezi 6 kwa kuwa bize na spain ilipofululiza mechi.Hapo red, ushawahi ona wapi bingwa anaishia nusu fainali ndugu yangu !!!! Starring hauwawi kamwe labda movie iwe ya kihindi !!! :dance:
utawapenda tu,huku ukisikiliza hii nyimboBaada ya jana chama langu Ureno kutolewa sasa hivi nipo Italy......Jumapili ni Italy moujer....
I hate the Spaniads.........
Karibu tuwashangilie Azzuri...
:loco: sijui nicheke sijui nilie,historia inamata,hawa jamaa niliongea hivi kwa taarifa yako ni kuwa toka balotelli azaliwe hawajawahi kuwafunga italy,pili hata kwa spain tucheze hata uwanja wowote hata 1 touch ujerumani analala,pole sana kwa ugonjwa wa moyo,karibu la roja sasa timu ya ukweli,ukiwakosa j2 jimalize kabisa,timu inayotoa burudani ya uhakika kwa sasa duniani kiasi hata Manolo el del bombo the drum alipoteana na familia yake takriban miezi 6 kwa kuwa bize na spain ilipofululiza mechi.
Starring hauwawi kamwe labda movie iwe ya kihindi !!! :dance: na kweli movie ya kihindi hiyo starring klose a.k.a amitabh bachan!
i consider A.Pirlo as the best player of the tournament..
hizi ni dhambi za kujitakia!mziki wa buluda santuri mia nane!hao spain wanapigika dimbani mpaka nje ya uwanja....blueprint ya kuwatandika tulishaonyesha katika mchezo wa kwanza.forza azzuri!bado nyie azzuri mtageuka kuwa bahari kabisa,yaani hata kwa kurusha shilingi kombe lazima liende san sebastian,bilbao,santander,malaga,mallorca,majorca,coruna,barcelona,valencia na kisha kutua zake madrid,cc ndio namba 1 kwa soka sasa duniani hilo mnalitambua,hongereni kwa kumfunga mjerumani ambae toka balotelli kazaliwa hajawafunga! bora stars kwa misri rekodi zingine.
hizi ni dhambi za kujitakia!mziki wa buluda santuri mia nane!hao spain wanapigika dimbani mpaka nje ya uwanja....blueprint ya kuwatandika tulishaonyesha katika mchezo wa kwanza.forza azzuri!
Andrea Pirlo kadhihirisha old is gold. Alihold dimba vilivyo. Return of Juve meant return of Italy.
Gemu ya leo ni ngumu sana.
Moyo na sababu zangu ziko na Spain, ingawa nakubali kuwa Italy ni wazuri sana.
Hata hivyo, natabiri ushindi kwa Spain. That's my dream but in football, everything is possible.
Asante sana BelindaJacob.Naona umeungana na Pedro Pinto wa CNN(sports anchor), yeye kasema 2-1 in favour of Spain.
Kila la kheri Mammamia na Spain yako..Naamini utakuwa mpira wa kuburudisha, nipo kote kote!!
Sasa umeanza maneno madogodogo. Hakuna haja ya kuandikia mate, bado dakika 45 tu. Azzuri mkishinda nitakuwa wa kwanza kukupongeza, lakini bila ya kupoteza imani yangu kwa La Roja.chaka la Simba swala hapati usingizi...
forza Italia