Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Duh DiNatale anakosa moja ya nafasi za wazi kabisa...Ujerumani leo wamezidiwa
 
Italy kama wakitulia leo wanaweza ondoka na ushindi wa kishindo...
 
Italian Job hii si mchezo...!

Nadhani kwa dakika zilizobaki wameshashinda..wamecheza vizuri sana!
 
Fainali ya EURO2012 inaelekea kuwa Spain na Italy mnamo jumapili...huu sio usiku wa wajerumani kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…