Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
Gemu ngumu Mkuu! Niwe mkweli, Portugal wamejipanga na wanashambulia zaidi kuliko Spain, hata hivyo bado nina imani na Spain.
Pepe yupo makini sana leo.....
Na Barca huwa wanamuweza....Wakicheza RMA na Barca lazima alambwe Red...Ila jamaa kichwani ana yule mdudu wa kondoo...so anytime kichaa kinampanda