Bala hii nahitaji kuweka wazi... Mie ni kwa game ya leo tu..... Personally nipo GER.... Ila kwa hii game Moyo wangu upo POR na Akili ipo SPA.....I wish u all the Best kaka...

Mie katika hizi mechi za kimataifa za soka huwa sitaki kuzikosa nyimbo za Taifa. Pamoja na kuwa sielewi maneno yake na nini zinamaanisha lakini nafurahia kuona reaction ya wachezaji kama wanaimba, wanatabasamu n.k. Uko kipande gani leo BJ? Ureno?
Mimi ninatetemeka hata vidole vinakataa kugonga keyboard, nitarejea baada ya mpira kumaliza AU Spain itakapopata bao la kuongoza. Kwa sasa ninajikunyata tu.