Yap......Nashangaa ni kwa nini kawaweka bench Samir Nasri , Evra, Ben Arfa na Olivier Giroud......Malouda keshajizeekea sijjui kwa nini anamuanzisha
Rekodi inaonyesha kuwa Spain haijawahi kuishinda Ufaransa kwenye competitive match ngoja tuone leo
Dah! Ufaransa wanataka kuniangusha leo..namna gani hapa ndugu watazamaji?!
Malouda hovyooooooo!!!!
Tatizo liko kwenye kiuongo.....Mapengo ya Nasri na Ben Arfa yanaonekana dhahiri...Timu yote hovyo, hawachezi kwa kujituma hata kidogo