Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

FAB this is a Big game boy..... U had that Big time money ball with the Big money time.... Stop looking for cheap penalties....
 

The system that Spain are using does not require a recognised CF like Torres. Its more like Barca who do not employ a typical CF in most of their games
 
Both FAB and Torres are good players though playing at different positions. I thonk that Del Bosque has opted for FAB first and not Torres due performance of the former in Barca compared to that of Torres in Chelsea. Another reason for Del Bosque using this formation might be the line - up of the rival team.
 
Goooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo! XAVI ALONSO!
 
France hata kumiliki mpira inakuwa tatizo
 
Ohhhhooo...... Kimenuka ... France ndo ivo tena....wameshalala cha kwanza
 
Spain wanatisha.......

Hicho kiungo ni balaa....


Pamoja ya matatizo ya Nasri, Nadhani Coach hatakua na jinsi zaidi ya kurudisha dogo Dimbani...Then EVRA is better than Clichy... Both Defensively and Offensively. Sitashangaa kuona Sub ya hawa watu....
 
katikati pamechoka saana!!! Kukosekana kwa Nasri kunaonekana kabisa....

Yeah katikati wanapwaya sana ... btw Nasri kaumia au ana kadi?

Nimemsikia kocha wao anasema baada ya mechi ya Sweden wachezaji walianza kugombana.... ikanikumbusha 2010 World Cup ilivyokuwa {Hii timu ina matatizo sana}
 
Wanacho BALA!!! Tatizo ni Coach kashindwa ku mantain Nidhamu katika Camp yao.... I bet itakua kama jana GER vs GRE
Yap......Nashangaa ni kwa nini kawaweka bench Samir Nasri , Evra, Ben Arfa na Olivier Giroud......Malouda keshajizeekea sijjui kwa nini anamuanzisha
 
Ohhhhooo...... Kimenuka ... France ndo ivo tena....wameshalala cha kwanza

Rekodi inaonyesha kuwa Spain haijawahi kuishinda Ufaransa kwenye competitive match ngoja tuone leo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…