Mpira ni mpira, chochote kinaweza kutokea, lakini nahisi France jana ilijifungisha kusudi lakini naona kama wamekimbia maji watakuja kukanyaga matope. Wasubiri kisago.Italy kazi mnayo kwa waingereza maana wanawasumbua sana,labda muende nao ktk matuta!,cc Spain japo France wamefungwa jana na Sweden,nao wagumu safari hii ila ni kama tunafumba macho kuingia semi final! halafu tunamsubiri mshindi wa kesho kati ya czech rep vs portugal ktk semi final j5 ijayo!
Asante sana BelindaJacob, nilikuwa nimeweka matumaini makubwa kwa Czech, just 4 sympathy mimi yangu Spain mpaka kieleweke.Portugal into Semi Final..
Mammamia pole sana..Czech wametoka hivyo!! Ronaldo kawamaliza🙂)
Italy kazi mnayo kwa waingereza maana wanawasumbua sana,labda muende nao ktk matuta!,cc Spain japo France wamefungwa jana na Sweden,nao wagumu safari hii ila ni kama tunafumba macho kuingia semi final! halafu tunamsubiri mshindi wa kesho kati ya czech rep vs portugal ktk semi final j5 ijayo!
ukitoa mfano huo,hata spurs hawajawahi kuchukua uefa champs ligi lakini waliwatoa ac milan,lolote linaweza kutokea,ila nyie najua mkipita ujerumani kazi anayo!Tangu umekuwa na akili zako na unaweza kutazama na kuutathmini mpira je umewahi kuona timu ya taifa ya England ikachukua ubingwa?
kweli usemayo,ila in la roja(red/wekundu) spain we trust!Mpira ni mpira, chochote kinaweza kutokea, lakini nahisi France jana ilijifungisha kusudi lakini naona kama wamekimbia maji watakuja kukanyaga matope. Wasubiri kisago.
Mimi na La Roja pamoja daima, lakini kumbukumbuku wanazotuonesha hapa Spain ni kuwa DAIMA La Roja haijawahi kuifunga France katika mashindano rasmi (EURO na WORLD CUP), ingawaje katika mechi za kirafiki France ikikutana na Spain wanakuwa kama mbuzi aliyeona chatu. Hata hivyo, kama wanavyosema hapa, La esperanza es lo último que se pierde [Hope is the last thing to be lost]. Tusubiri kesho.kweli usemayo,ila in la roja(red/wekundu) spain we trust!
mimi nasupport greece leo wamtoe ujerumani ili iwe njia nzuri kwa england kufika finals