Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Dreaming is free of charge and hope is the last to be lost.
Vi auguro buona fortuna
 
That was a very STUPID defending from UKRAIN.....
 
Yaani mpira kama huu alopewa ROO angeakuwa WALCOTT pale ingekua balaa lingine kwa UKRAIN
 
Wale marefa wa nyuma ya magoli hawana maana.

Hivi kweli Fifa hawataki goal line. technology?
 
Video Technology {Goal line Tech} inahitajika kwa msingi huu
 
Video Tech should be used in this Sport...... na pale nyuma kuna kuna msaidizi wa Ref...
 
Hapa refa kawanyonga Ukrein, goli la wazi kabisa!!!!!
 
Yani lile refa la golini linamuangalia kabisa mtu anaokolea ndani, sijui amesahau kama yeye refa pia?
 
Wale marefa wa nyuma ya magoli hawana maana.

Hivi kweli Fifa hawataki goal line. technology?

Tokea 2010 England walipodhulumiwa goli lao dhidi ya Ujerumani mimi nilisema wanahitaji sana goal line tech lakini naona hii mijamaa ya FIFA iko nyuma sana.

Yaani goli la wazi kabisa jamaa wamenyimwa. Haki iko wapi hapo?
 
Ni bora basi waseme ni lazima nyavu zitikisike kama hawataki goal line tech maana hii ya mpira kuvuka mstari haiwatendei watu haki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…