BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,076
GErmany.... Ila kwa hapa nataka URENO ishinde..... Kuna Mshkaji jirani yangu ni M'NED anasumbua sana na ENGLISH yake ya magumamshi...
mpe sapoti jirani yako bwana..ujue holland ikitoka leo ni noma..mie sina hamu hapa