asante sana, naona wanaonyesha matangazo ya biashara
LEGE mpira magoli aisee. Ingekuwa ni starehe kusingekuwa na haja ya kushindania ubingwa na makombe.
Tena sasa hivi Sepp anafikiria kurudisha Golden Goal Rule a.k.a Sudden Death,ili kuondoa dhana kama yako na zile timu zinazopaki basi na treni ili ziende kwenye penalty shoot outs.
Golden goal ikirudishwa itarudisha msisimko kiasi katika soka.
Yani Spain wamerudisha chap chap kama vodafasta🙂))