Kocha naona kaamua kum-disrespect Torres na Chelsea . Yani kamwambia japo David Villa kaumia, kiwango chake hakijafikia kupata namba pale mbele. Yani ana midfielder ambao wazuri pale mbele kushinda yeye ambae. Ni. Forward.
Msiwe na hofu punguzeni kisebusebu jamani mda ukifika lazima huyu muitaliano achinjwe kesha elekezwa kibra.Twasubiri sara ya mwisho ya papa toka roma tusijeharakisha kumchinja ikaonekana ni kibudu.
Msiwe na hofu punguzeni kisebusebu jamani mda ukifika lazima huyu muitaliano achinjwe kesha elekezwa kibra.Twasubiri sara ya mwisho ya papa toka roma tusijeharakisha kumchinja ikaonekana ni kibudu.
LEGE mpira magoli aisee. Ingekuwa ni starehe kusingekuwa na haja ya kushindania ubingwa na makombe.
Tena sasa hivi Sepp anafikiria kurudisha Golden Goal Rule a.k.a Sudden Death,ili kuondoa dhana kama yako na zile timu zinazopaki basi na treni ili ziende kwenye penalty shoot outs.
kuna hawa ma pundits wa ASTRO SUPERSPORT wanasema spain wanajitahidi kucheza barcelona style but there no messi out there .. they need to put some one who can score goals... i hope watafanya mabadiliko wapeleke kilio kwa Gang Chomba