Yahojiwe ya marekani kwanza wasiishie warusi wametuingiliaSidhani kama watafanya hivyo
Tutuambiwa wametuingilia
Lakini ndio wanaotupa misaada
ha ha warusi wamedukuaYahojiwe ya marekani kwanza wasiishie warusi wametuingilia
Shinikizo pekee kwa watawala wa kiafrija ni kuwakatia misaada tu hamna njia nyingine.Ushauri ni ushauri, na kiukweli ni ushauri mzuri, ila uchaguzi ni mambo yetu ya ndani, hivyo ni ruksa kutoa ushauri wowote kuhusu mambo yetu ya ndani, ila uamuzi wa kupokea ushauri au kuupuuza ni wetu. Mimi binanafi naunga mkono ushauri huu, ila katika chaguzi za Tanzania, kwangu mimi jambo muhimu sii hili, kwangu mimi jambo muhimu kabisa ni hili kurekebisha sheria yetu ya uchaguzi, tuweke the level playing field.
Sheria ya Uchaguzi Ni Bad Law!, Kuendelea Kuitumia ni Ujinga?, Kuwabebesha Masikini Gharama za Uchaguzi ni Dhambi!. - JamiiForums
na hili
Shurti la kudhaminiwa na chama kugombea uchaguzi, ni shurti batili kwa mujibu wa Katiba, linatutia hasara, tulifute!. - JamiiForums
P.
Siyo rais kwa Africa ya leo,Ushauri ni ushauri, na kiukweli ni ushauri mzuri, ila uchaguzi ni mambo yetu ya ndani, hivyo ni ruksa kutoa ushauri wowote kuhusu mambo yetu ya ndani, ila uamuzi wa kupokea ushauri au kuupuuza ni wetu. Mimi binanafi naunga mkono ushauri huu, ila katika chaguzi za Tanzania, kwangu mimi jambo muhimu sii hili, kwangu mimi jambo muhimu kabisa ni hili kurekebisha sheria yetu ya uchaguzi, tuweke the level playing field.
Sheria ya Uchaguzi Ni Bad Law!, Kuendelea Kuitumia ni Ujinga?, Kuwabebesha Masikini Gharama za Uchaguzi ni Dhambi!. - JamiiForums
na hili
Shurti la kudhaminiwa na chama kugombea uchaguzi, ni shurti batili kwa mujibu wa Katiba, linatutia hasara, tulifute!. - JamiiForums
P.
bila katiba mpya bado hizo sheria zikitungwa zitakiukwa tu!Ushauri ni ushauri, na kiukweli ni ushauri mzuri, ila uchaguzi ni mambo yetu ya ndani, hivyo ni ruksa kutoa ushauri wowote kuhusu mambo yetu ya ndani, ila uamuzi wa kupokea ushauri au kuupuuza ni wetu. Mimi binanafi naunga mkono ushauri huu, ila katika chaguzi za Tanzania, kwangu mimi jambo muhimu sii hili, kwangu mimi jambo muhimu kabisa ni hili kurekebisha sheria yetu ya uchaguzi, tuweke the level playing field.
Sheria ya Uchaguzi Ni Bad Law!, Kuendelea Kuitumia ni Ujinga?, Kuwabebesha Masikini Gharama za Uchaguzi ni Dhambi!. - JamiiForums
na hili
Shurti la kudhaminiwa na chama kugombea uchaguzi, ni shurti batili kwa mujibu wa Katiba, linatutia hasara, tulifute!. - JamiiForums
P.
We jamaa unamawazo ya ajabu kuliko hata mababu zetu.Shinikizo pekee kwa watawala wa kiafrija ni kuwakatia misaada tu hamna njia nyingine.
Hata huu mfumo wa vyama vingi kwa nchi za kiafrika umefanikiwa kutokana na mashinikizo kutoka nchi za Ulaya na Marekani.
Sisi Waafrika ni hovyo tunahitaji kutawaliwa kama kweli tunataka kuendelea na kutawaliwa kwenye ni kwa njia kama hizi.
Viongozi wa nchi za kiafrika wamegeuka mabosi wa wananchi wao na matokeo yake hawawajibika kwa wananchi wao bali wanaongoza watakavyo wao hivyo ni vigumu sana kuleta maendeleo ya watu wao na huu ndio uhusiano mkubwa wa demokrasia na maendeleo.
Punda haendi bila kiboko.We jamaa unamawazo ya ajabu kuliko hata mababu zetu.
Unawaza kutawaliwa tu wakati kina mkwawa na elimu yao ndogo, walipambana kujikomboa.
Sasa ipi bora kutawaliwa na wakoloni au kutawaliwa na wazawa??? Shame on you?? Uliza mkwawa alipigana vita ngapi ya kupinga kutawaliwa na chifu wa upande wa ukoo mwenzake kabla ya ukoloni.We jamaa unamawazo ya ajabu kuliko hata mababu zetu.
Unawaza kutawaliwa tu wakati kina mkwawa na elimu yao ndogo, walipambana kujikomboa.
Mkuu Bigi Maindi, kama utasubiria, basi utasubiri sana!, kwa sababu kila mtu nae pia ana mawazo kama yako, ya kukaa pembeni na kusubiri wengine ndio wafanye. Japo ni kweli haki haiombwi, wala hauletewi kwenye kisahani cha chai, bali hupiganiwa!, sasa kama wapiganaji wenyewe ndio wote wa type yako ya kusubiria wengine ndio wafanye, then utasubiri sana!, kwa sababu wewe sio mpiganaji bali ni mtazamaji, wala sikulaumu kwa sasabu hauko peke yako, mko wengiSiyo rais kwa Africa ya leo,
the beutiful ones were not yet born..! Mwenzenu bado nasubiria kizazi cha kuhoji na kutafuta haki wala siyo kizazi hiki cha kungoja kiletewe haki na kuomba haki itendeke badala ya kuchukua haki au kupigania haki...
We ni nothing mind sio bigmind, wakati wakoloni wanachukua Mali zetu na kutuuza kama watumwa ulifaidika nini??? Au ndio faida ya ukoloni???Sasa ipi bora kutawaliwa na wakoloni au kutawaliwa na wazawa??? Shame on you?? Uliza mkwawa alipigana vita ngapi ya kupinga kutawaliwa na chifu wa upande wa ukoo mwenzake kabla ya ukoloni.