EU yaivimbia Marekani huku ikiilinda Irani kibiashara

UPDATE
31/01/2019
Katika hatua nyingine inayoonyesha 'uvimbaji' wa EU dhidi ya US, wanachama wa EU( Ujerumani, Ufaransa na UK) wanaelekea kukamilisha mfumo wa kufanya miamala na Iran kwa namna ambayo inakwepa vikwazo vya US kwa yeyote atakayefanya biashara na Iran. Kwa sasa biashara zisizotumia malipo ya dola kati ya nchi hizi na Irani ni zile zinazohusu bidhaa za ki-ubinadamu kama madawa na kadhalika. Mfumo huo mpya wa kufanya miamala na Iran unaitwa INSTEX. Utasimikwa Ufaransa ,kuendeshwa na wataalamu wa banki za Ujerumani na UK itaongoza bodi ya utawala wa mfumo huo.
----
Germany, France and the UK are setting up a transaction channel with Iran in a bid to thwart US sanctions and continue business with Tehran. For now, the non-dollar trade is said to be limited to humanitarian goods only.
The new payment system is called INSTEX – short for “Instrument in Support of Trade Exchanges.” It will reportedly be based in Paris and managed by a German banking expert, German media say. The UK is expected to head the supervisory board

EU takes 1st step to evade US’ Iran sanctions as it sets up payment channel for ‘humanitarian’ trade
 
pale ni suala la mda tu,kitanuka,ndani ya mwezi may kama hakijanuka itakua bahati sana
 
Kitanukaje mkuu...?
may 2,ndo siku marekani itaanza kuziwekea vikwazo nchi zinazonunua mafuta ya iran,mpaka sasa china na uturuki ndo wamegoma kukubaliana na marekani,ila endapo watasalimu amri ina maana iran itakosa nchi ya kuuza mafuta yake na hapo ndo wanadai iwapo hawataruhusiwa kuuza mafuta watafunga hormuz ambako mafuta ya saudi,kuwait na united arab emirate hupitisha mafuta,marekani washasogeza aircraft carrier mbili maeneo na wanadai iran akifunga wao watafungua kwa nguvu
 
Aiseee, sasa mkuu hilo lango la Hormuz na hayo maeneo na maji yake si ya kimataifa au ?
may 2,ndo siku marekani itaanza kuziwekea vikwazo nchi zinazonunua mafuta ya iran,mpaka sasa china na uturuki ndo wamegoma kukubaliana na marekani,ila endapo watasalimu amri ina maana iran itakosa nchi ya kuuza mafuta yake na hapo ndo wanadai iwapo hawataruhusiwa kuuza mafuta watafunga hormuz ambako mafuta ya saudi,kuwait na united arab emirate hupitisha mafuta,marekani washasogeza aircraft carrier mbili maeneo na wanadai iran akifunga wao watafungua kwa nguvu
 
However, the EU’s efforts to set up the long-promised payment channel have not satisfied Tehran. Earlier this week, Iranian Foreign Ministry spokesman Seyed Abbas Moussavi called INSTEX a “faux thing of no practical use,” according to Iranian media.

He later said that if this turns out to be the case, the Islamic Republic will not accept it and may change its commitments under the nuclear deal that Brussels is trying to hold on to.

For more stories on economy & finance visit RT's business section
 
Asante sana Mkuu. Nashukuru sana kwamba sasa wote tuko kwenye ukurasa mmoja. Kwamba tukiweka link hapa hatuishii kusoma heading ya link bali tunaifuatilia link na kusoma kila neno kwenye link ile. Sasa kwa kuwa tuko kwenye ukrasa mmoja kuna link hapa chini ambayo inakuondolea mashaka juu ya ubora INSTEX kwa Iran.

Kwa ufupi tu hiyo kauli uliyonukuu ilitolewa kabla ya makubaliano yaliyofikiwa jana na wale waliobaki JCPOA. Na ushahidi wa kuanza kufanya kazi kwa mfumo huo ni kuwa bei ya mafuta imeshuka.
"The announcement sent oil sharply lower, with crude futures falling about $1/bbl in closing minutes before settlement, extending daily loss, as it means Iran now has a fully functioning pathway to receive payment for oil it exports to anyone it chooses. "

Fuatilia kwa undani zaidi habari hii kwenye link hii.

Jana Marekani iliiambia EU wachague moja Kati ya Marekani au Iran!

Na washasema wazi nchi yoyote itakayofanya biashara na Iran italambwa sanctions
Na mpaka sasa hiyo INSTEX inafanya biashara kwa bidhaa ambazo hazipo kwenye orodha ya vikwazo vya US.
 
...inafanya biashara kwa bidhaa ambazo hazipo kwenye orodha ya vikwazo vya US.
....as it means Iran now has a fully functioning pathway to receive payment for oil it exports to anyone it chooses.
===
Yawezekana hicho kipande cha sentensi hapo juu umekiruka kwa bahati mbaya katika usomaji wako.
Mchana mwema 🙂
 
Ya nini tuandikie mate wakati wino ungalipo!!!

TUTAONA!
 
Back
Top Bottom