TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,552
- 28,539
- Thread starter
- #21
Hapana, bali umetokea kwenye eneo la EU. EU imekataa masharti ya vikwazo vya US. Tusichanganye mamboHuo mlipuko unatokana na US?
Hapana, bali umetokea kwenye eneo la EU. EU imekataa masharti ya vikwazo vya US. Tusichanganye mamboHuo mlipuko unatokana na US?
Kutotii sheria za mahakama za nje kivipi?Mkuu mimi nina maswali hapa:
Mosi, Umoja wa Ulaya unapitisha sheria ya kuyalinda makampuni yao yanayofanya kazi nchini Iran. Hivi hiyo sheria mbali na kulipa fidia za hasara na kutotii maamuzi ya mahakama ya nchi za nje, inawezaje kuyalinda hayo makampuni ???
Pili, huo mlipuko uliotokea nchini Italia sasa hivi unahusikaje na The Blocking Statute ???
Mkuu hakumaanisha Boeing ni kampuni ya ulaya, ila Boeing inategemea malighafi nyingine toka ulaya.Corrections.
Boeing ni kampuni la Marekani siyo Ulaya.
Sasa tukirudi kwenye swali letu la msingi hapa: Hivi unadhani Marekani anaweza kukamata mali za makampuni kutoka Ulaya ??? Atazikamata mali au atayazuai makampuni yasifanye kazi nchini kwake ???
Trump haogopwi kwasababu anaweza kufanya kitu cha kutisha lakini kwasababu anajiamini kwamba Umoja wa Ulaya hauwezi kuingia kwenye vita ya kibiashara na Marekani kwasababu ya Iran. Vita ya kibiashara ikitokea baina ya Ulaya na Marekani basi ndiyo utakuwa ndiyo mwanzo wa kuanguka kwa mataifa ya Magharibi. Hivyo sidhani kama tutashuhudia vita ya kibiashara kati ya Marekani na Umoja wa Ulaya kisa tu Iran, sidhani kama itatokea leo au kesho.
Mkuu kwani hujawahi kuisoma hiyo Blocking Law ???Kutotii sheria za mahakama za nje kivipi?
Kwani kuna katazo la mahakama?
Sijawahi mkuu!!Mkuu kwani hujawahi kuisoma hiyo Blocking Law ???
Basi kaitafute mkuu ndiyo utaona kila kitu nilichokisema hapo juu.Sijawahi mkuu!!
Basi ukishapitia makabrasha yako usiache kutufahamisha mkuuAsante mkuu kwa maswali yako murua kabisa;
North Korea ame survive na vikwazo vile vile Iraq ya Saadam HuseinMpaka sasa Marekani anategemea asilimia chache sana ya mafuta kutoka Ghuba ya Uajemi. Duniani yeye ndiyo anaongoza kuzalisha mafuta na mwaka jana kazilisha mapipa ya mafuta mengi kuliko Urusi na Saudi Arabia. Kama alivyosema Mkuu muyovozi kwamba baada ya Shale Oil Revolution ya mwaka 2014, Marekani ana ulinzi wa kinishati (Energy Security) kuliko wenzake wengi wa Ulaya ambao hutegemea mafuta na gesi kutoka Urusi na Uarabuni.
Ndiyo maana sasa hivi anafanya mambo ambayo anajua kabisa yanaweza kusababisha vita kwenye Ghuba ya Uajemi. Yakitokea ya kutokea pale yeye hatapata hasara kubwa kwasababu wakianza kupigana pale mafuta hayatazalishwa tena. Kama mafuta hayazalishwi basi kutakuwa na mfumuko mkubwa wa bei ya mafuta hapa duniani, yeye atauza sana mafuta, yaani atauza kweli. Japo mgogoro hauwezi tokea kirahisi kwasababu mataifa ya Ulaya na Mashariki ya mbali kama Uchina na India itakula kwao kwasababu hawana Energy Security kama Marekani.
Iran acheze vizuri sana huu mchezo, maana akibugi tu imekula kwake mzee, tena imekula sana sanaaaa. Anashindana na American Corporatists na Wazayuni ambao hutumia mapesa na akili kwa wingi.View attachment 828543
Marekani ndiye anayetoa fedha nyingi kununua bidhaa za mchina. Wakisimamisha biashara Leo. Marekani atakosa 130 bln toka China na mchina atakosa 600 bln toka Marekani .Mchina anafaidika zaidi kwenye biashara yao. Na hiyo takwimu no hadi EU (ulaya) ndio maana Marekani no kuwa kila mahali yeye ananunua zaidi nje kuliko anavyouza. Ndio kisa Trump kuzua msemo America first. Anataka nao wanunue kwake kama anavyonunua kwao. Chini ya hapo ndio mikwara kilapembe hasa EU na China kawashika pabaya. MTU hawezi kutamba vile kila kona bila kuwa na hakika kuwa nikminya hapa adui atanywea. Akienda EU anawaambia nyie na Japan Mimi ndio nagharimia ulinzi wenu. Chkuenijukumu LA kujilinda. Mbabe bado ana turufu kubwa tu haidhuru kwa miaka so chini ya kumi ijayo lakini himaya hupanda na kushuka. Mwingereza na Roma zilitamba lakini Leo ni mabwana mdogo. Atashuka siku moja watambe wengineMkuu asante sana kwa ufafanuzi wako...! Ila naomba ufafanuzi hapo kwenye tarakimu. China anauza/export $600 bln US na US ananunua $ 130 bln kutoka China. Maana yake, China anatoa msaada kwa US wenye thamani ya $ 470 bln ?
Amesurvive ndiyo,North Korea ame survive na vikwazo vile vile Iraq ya Saadam Husein
Ni kweli kabisa lazima Iran watampa shida hata kama kuipindua serikali . Tena nadhani watatumia civil war kama Syria wakichanganya na economic sanctions Iran atapiga magoti tu. Tukumbuke kuwa Urusi ni mshindani Wa Iran kwenyebiashara ya mafuta kwa hiyo anguko LA Iran no baraka kwao, ndio maana huwa mrusi anamruhusu Marekani apige mabomu sehemu za Syria zinazodhibitiwa na Iran.Lakini zinazodhibitiwa na Mrusi mwenyewe Marekani hajawahi kuzipiga. Picha ya mbeleni huko kama Iran atagangamala kuna hatari ya kumgeuza awe kama Iraq . Tukumbuke Iran kuna wanaojiita wapenda mageuzi kinyume na utawala Wa kiislamu uliopo sasa, hao wakipata msaada toka nje boti LA Iran litabomolewa wagawne mbao. Mungu apishe mbali. Mabeberu ni wanyama ,wana silaha za nuclear na walishazitumia Japan vita kuu ya Pili , lakini hawataki meingine awe nazo. Yote hiyo ukandamizaji na kupora raslimali duniani kote. Wanyama hao.Baada ya uchaguzi wa US wa 2020 kuna uwezekano kukatafutwa "A regime change in Iran" kwani Marekani na washirika wake kama Israel na Saudi Arabia hawatakubali kuendelea kuiona Iran ikitafuta kujitanua kutaka kujitanua Middle East.
Kwa gharama ya wananchi wa kawaida na siyo serikali au viongozi/wanasiasaAmesurvive ndiyo,
Lakini kwa gharama gani mzee ???
Aosee
Mafuta marekani hawezi chimba Syria,kwa sababu Yale mapipeline yanaelekea maeneo alipo Assad,ndo sababu uchimbaji wa visima vya Der a zor ulisimama,hats wakisema waweke pipeline kuelekea Iraq,itachukua mda,halafu Iraq iko chini ya Iran.We nawe.... Hapo Red sea si meli inapitia Suez Kanal huko Syria ikafate nini? Hata hivo marekani pia inapigana ku "control" visima vya Mafuta. Iraq asilimia kubwa ya visima ni makampuni ya Marekani. Huko Syria sasa Kaskazini mwa Mto Euphrate ambapo pana zaidi ya 40% ya visima vya Mafuta vya siria vina dhibitiwa na marekani... Hali ikiwa Shwari utaona makampuni yao yakifanya kazi huko
Sasa Umejuaje??😂😂😂😂hakuna kitu kama icho,Hakuna kampuni itakayotaka kufilisiwa na USA ili ifanye biashara na Iran.Nenda na dola Moja huko Iran uone kama ujarudi na Rambo LA manoti ya pesa zao.Vikwazo vya kawaida vinaanza mwezi huu,na ikifika November hawataruhusiwa kuuza mafuta nje ya Iran.Wanachofanya EU in kujikosha wasionekane wamewasaliti Iran kutokana na mkataba walioingia nao before Trump.
Unadhani wananchi wa Iran watakubali kuishi maisha ambayo wanaishi NK?!North Korea ame survive na vikwazo vile vile Iraq ya Saadam Husein