EU statement on the closure of The East African

EU statement on the closure of The East African

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,356
eu.jpg

EUROPEAN UNION​
Dar es Salaam, on 26 January 2015,​

LOCAL EU STATEMENT ON CLOSURE OF A NEWSPAPER IN TANZANIA​

The Delegation of the European Union Issues the Following Statement in Agreement with the EU Heads of Mission in Tanzania.

The government decision of January 23rd to suspend the circulation of "The East African", a long-established regional newspaper, gives rise to concerns about freedom of press in Tanzania.

It is the duty of the media to work within the law and to make every effort to adopt and adhere to professional standards. But Press Freedom and freedom to express opinions are fundamental rights of the people, which call for circumspection and proportionality in the application of the law.

The Delegation of the European Union expresses its concern that modern media legislation in Tanzania, including on the citizens' Right to Information, has not yet been promulgated despite the longstanding requests of the media profession and the repeated commitments of the Government. It is recalled that in October 2010 the EU's independent Election Observation Mission recommended expediting modernisation of the media laws, taking into account stakeholders' views.

The Delegation of the European Union calls upon the Government to make every effort to preserve the freedom of expression in Tanzania and it urges all stakeholders to prioritise constructive dialogue as the primary means to resolve differences. It also reiterates its commitment to monitor, support promote and monitor media freedom as a shared value of the EU partnership with Tanzania.

The High Commission of Canada and Embassies of Norway and Switzerland associate themselves with this statement.
 
The system you guys have emposed on our communities and societies has developed modern monarchies, dont shout take us out of this mess. Kick CCM out of your support plans
 
Tanzania ni nchi huru, na ina sheria na taratibu zake zilizowekwa katika upashanaji wa habari, hakuna uhuru pasipo kutii sheria za nchi.

Kama wanataka, wakalichapishe hilo gazeti EU countries.

Mungu wangu! Tuna safari ndefu sana.
 
Tanzania ni nchi huru, na ina sheria na taratibu zake zilizowekwa katika upashanaji wa habari, hakuna uhuru pasipo kutii sheria za nchi.

Kama wanataka, wakalichapishe hilo gazeti EU countries.

Hivi hilo gazeti lilivunjaje sheria?
 
Tanzania ni nchi huru, na ina sheria na taratibu zake zilizowekwa katika upashanaji wa habari, hakuna uhuru pasipo kutii sheria za nchi.

Kama wanataka, wakalichapishe hilo gazeti EU countries.

sheria ipi ilivunjwa? (kifungu),
adhabu yake ni ipi?
 
hawa watu wanaitwa canada hawana impact yeyote nchini, hawa ndio wanaomiliki barrick gold/acacia na bao wanatuletea ngebe, hivi wanafaida gani? kama vipi na sisi tuwaletee fitina kwenye migodi tuone kama hawatatia heshima. misaada hawatoi, kuiba wanatuibia na wanaingilia mambo yetu ya ndani. fukuzia kule kwanza wao wanatuhitaji kuliko sisi kuwahitaji wao.
 
Halafu JK kaenda France ambako hawajasahau jihadists walivyovunja kalamu ya Charlie Hebdo!! Hivi kwa nini JK katema akaunti yake ya Twitter? Au jamaa walimtupia tweets za nguvu kuhusu katuni yake ya kuponda maraha na kufungia gazeti!!!
 
Hawa EU ni wanafiki sana, katika uchaguzi wa 2010 waliondoka kimya kimya bila kutoa tasmini ya uchaguzi kutokana na wizi wa kura. Leo wanatoa statement ya ajabu kuhusu serikali inayoongozwa na CCM wakati wao ndio walikuwa wa kwanza kuipa support 2010..

Walisema tukubali matokeo ili amani itawale kwa maana hiyo walituambia kiutu uzima kuwa CCM wameiba kura. Wewe ulitaka waseme wameiba washughulikieni. Yaani kwa maneno mengine walituambia 'kidiplomasia' na sisi tungeamua la kufanya wenyewe. Tukaamua kukaa kimyaaaa!!
 
The paper was deservedly given the taste of their own bitter pills, hope they behave more responsibly in future
 
Tanzania ni nchi huru, na ina sheria na taratibu zake zilizowekwa katika upashanaji wa habari, hakuna uhuru pasipo kutii sheria za nchi.

Kama wanataka, wakalichapishe hilo gazeti EU countries.
kwani hizo sheria ziliwekwa juzi? si zilikuwepo wapi tokea miaka 20 ambayo gazeti lilikua linauzwa tanzania? kwanini wasilizuie toka kipindi hicho waje walizuie juzi?? mimi ni mtanzania lakini sikubaliani na huu uozo!!
 
Hawa washenzi wanajidai freedom of kusema au wanataka umbea tu, badala ya kuipongeza serikali sasa imeanza kusimamia sheria wao wanaleta ujinga. wakachapishe kwao Europe. Hapa magazeti ya shigongo yanatosha.
 
Waende zao wakakemee mataifa yao pia na uzuizi wa habari indirectly kupitia sheria zao sio kuja kutaka kutuletea culture imperialism na demokrasia ambazo hatujafikia kama jamii.

Gazeti aliwezi kuwa lina andika nakala za kichochezi na kui-represent serikari with negative stories kila mara lika achiwa, kama washazoea kuandika nakala za kibaguzi ni makwao huko huko Rwanda sio Tanzania kwanza ni move ambayo imechelewa sana.

Hao EU kwanza watueleze kanuni na sheria za nchi mwanachama wao ambae anamasharti luluki yenye kukandimiza kwa malengo ya ku-shape reporting zenye mlengo wa utaifa kabla ya kuja kwetu sisi.

Huko uingereza kuna chombo chao cha 'Press Complaint Commission' ambapo magazeti yote ni wanachama na wanatakiwa kufuata kanuni kadhaa za uandishi na ku-report habari nenda kinyume kama hawajakuwakia. Moja ya masharti ya uandishi ni acting in the public interest (this has wide interpretations to mean national interest) andika nakala ambazo zinatetea taifa lingine au policy ambazo za national interest uone kama gazeti alitawekewa mizengwe.

Zidi ya hapo ikiwa kama part of censorship kwa vyombo vya habari kuna sheria luluki za ku-shape reporting; sheria mbili muhimu zikiwa 'The official secret act' ambapo maswala sensitive ya kitaifa haya andikwi hovyo na gazeti likijaribu utaona bunge litakavyowaka moto kutaka kujua source of information na hiyo sheria imewekwa mahususi kuzuia habari sensitive kuandikwa. Sheria ya pili 'Race relation act' ambapo ni marufuku kuandika nakala zenye uchochezi au zenye malengo ya kugawa jamii, jamaa wamezidi kuiandika Tanzania kama nchi isiyotaka amani kati ya wahutu na watutsi na mambo mengi ya kipuuzi na uchochezi.

Huo uhuru wanaotaka kutulazimishia kwanza wangefanya kwa wanachama wao na sheria luluki zinazochora mipaka ya uandishi, hawa jamaa walizidi na imechukua muda mrefu sana wafungiwe tu indefinitely kwa maandishi yao ambayo sio sahihi kwa taifa we have the right to defend our shores and our peaceful ways sio watu kulishwa values ambazo sio sahihi na mamluki wa Kagame na Kenyatta.
 
Tanzania ni nchi huru, na ina sheria na taratibu zake zilizowekwa katika upashanaji wa habari, hakuna uhuru pasipo kutii sheria za nchi.

Kama wanataka, wakalichapishe hilo gazeti EU countries.

Unafahamu maana Halisi ya Uhuru?Je!Tanzania ni Nchi Huru?Elezea!
 
Uhuru ni uwezo wa kujiendeshea mambo yako kwa namna zako ndani ya mipaka yako. Taifa tukufu la Tanzania ni huru utaki nenda Rwanda au kwengineko.

Na kwa akili yako Tanzania ina uwezo wa kuendesha mambo inavyotaka ndani ya mipaka yake?hao EU wanatoa wapi nguvu ya kuja na tamko km hilo?Serikali yetu ime respond vp kuhusu Statement ya EU?Kwa Taarifa yako,hatupo Huru kama unavyojidanganya hapa,na huu ni Ukweli mtupu,huwezi kuwa Huru kwa mtu unayempa Shikamoo ili akupe Chakula!Kila siku na Bakuli hukohuko kwao,tunaendekeza Umatonya,Tupo Kimbelembele kwenye International Treaties nyingi ambazo tunaingia tukiwa tumefumba macho ili tu tusikose misaada!Tunashindwa kuwa Wastaarabu wenyewe kwa kutumia rasilimali tulizopewa na Mungu na badala yake tumewakabidhi haohao unaowatukana,really?Shame on You!Tanzania,and Africa will never be Free/Independent if Hypocrisy is not wiped Out among Ourselve!
 
Msaada uwa unakuja na masharti mengi mojawapo si division or implementing policies which will destruct the nation.

Serikari ya Tanzania inamajukumu ya kuzuia maandishi chonganishi kusomwa na raia wake kama mataifa mengine yeyote leo, same as they are now censoring and monitoring any language that is considered aiming to radicalise young people on their fight against terrorism.

The only difference is that they create laws first but they still do restrict for the sake of their co-existence kwanini ukifanya kwako iwe makosa kisa maskini, jamaa walizidi uchochezi na misrepresentation of the government.
 
Back
Top Bottom