pixel
JF-Expert Member
- Jun 22, 2012
- 1,630
- 406
Hatuwezi kuweka rehani nchi yetu kwa kuiogopa EU.serikali kazeni kamba kabisa hapo,hamna kulifungulia The east African.Wananchi tunaofatilia habari za gazeti hili tumejiuliza sana,inawezekanaje gazeti lichapishwe na kuuzwa kwa watanzania halafu linaponda misimamo ya watz juu ya sera zao EAC?The east African sio wenzetu.