EU statement on the closure of The East African

EU statement on the closure of The East African

Ina maana miaka 20 yote walikua hawajui gazeti halijasajiliwa??

Unaonaje ukiwauliza The EAST AFRICAN NEWSPAPER kwa nini walikuwa hawajajisajili miaka yote hiyo.Hata rushwa ina mwisho kama kuna waliyekuwa wakimhonga ili waendeshe biashara bila leseni sasa limewakuta.Atakuwa kastaafu huyo mla rushwa wao au vyovyote.Swala la muhimu ni kuwa hatimaye wamedakwa.
 
Bado hujajibu swali!! Je kwa miaka yoote 20 nchi ilikua wapi???
Tukirudi katika hoja yako, je unakubali kwamba SERIKALI YA CCM IMEJAA RUSHWA???
 
Kwa kuchapisha katuni ya DHAIFU

B8DwzysCcAAct_2.jpg:large

Hapo kwenye 'INCOMPETENCE" angesema 'IMPOTENCE" Kama walivyosema wengine kuhusu DHAIFU
 
Uko sahihi..na mimi siungani nao katika swala la uchochez!! HOJANI KWAMBA WAO WANASEMA WAMELIFUNGIA KWASABABU HALIJASAJILIWA, JE KWA MIAKA YOOOOTE 20 NDIO WANAGUNDUA LEO KWAMBA GAZETI HALIJASAJILIWA??

Sijui uelewa wa watu wengine ukoje!!!! Huwezi kusema gazeti limechapishwa kwa miaka 20 bila kibali halafu unakuja na hadithi kama hizo!!!! Pathetic!!!!
 
Sijui uelewa wa watu wengine ukoje!!!! Huwezi kusema gazeti limechapishwa kwa miaka 20 bila kibali halafu unakuja na hadithi kama hizo!!!! Pathetic!!!!
By the way am sure kuna sababu ila sio kusajiliwa!!! Na mbaya zaidi hawajaisema!!

Cc East African Eagle ..
 
Last edited by a moderator:
Bado hujajibu swali!! Je kwa miaka yoote 20 nchi ilikua wapi???
Tukirudi katika hoja yako, je unakubali kwamba SERIKALI YA CCM IMEJAA RUSHWA???
Hata kama miaka yote ilikuwa imelala sasa imeamka.Hakuna usingizi usiokuwa na mwisho.
Upande wa CHADEMA nina ushahidi kuwa imejaa Rushwa.Kacheki wabunge wa viti maalumu.MFANO Hawara wa mbowe anayeitwa Joyce MUKYA aliteuliwa kuwa mbunge viti maalumu kwa rushwa ya ngono. USHAHIDI wamezaa hadi mtoto.
 
Bila shaka wewe ndiyo zuzu, kama ni masuala ya escrow media nyingi zingefungiwa hata hii JF. Hawa jamaa walikuwa wanaandika habari za uchonganishi dhidi ya Tanzania na nchi jirani, hakuna uhuru pasipo mipaka.
Kwa Taarifa yako Gazeti lao ndio lilifanya investigative journalism, Ili kupata uhakika hadi wakasafiri kwenda kufanya due deligency "ngambo" ( Malasiya na UK) na ndipo waliporudi na ukweli ambao si tu waliuweka wazi bali pia walifungua kesi mahakamani kupinga upuuzi uliofanywa na wale wapuuzi ( IPL,PAP ....Haya magazeti mengine uchwara unayoyasema yalikuja kudandia tu. Unaweza kuulizia watu wenye uelewa mpana wanalijua hilo.

NB: Kumbuka haya ndio magazeti yanayotumia lugha ya kiingereza yanayosomwa zaidi wa wageni wakiwepo diplomat, ambao kwa ufinyu wa hakiri unadhani wanatuhitaji zaidi ya tunavyowahitaji sisi malofa.

Una safari ndefu sana ya Kujitambua, na kama unajitambua basi unahitaji juhudi binafsi za ziadi kujielimisha na baadhi ya mambo ya kimsingi.
 
Hata kama miaka yote ilikuwa imelala sasa imeamka.Hakuna usingizi usiokuwa na mwisho.
I see... kumbe ilikua imelala!! Bado haileti maana kusema gazeti limefungiwa kisa kusambazwa bila kusajiliwa, na mbaya zaidi magazeti yanauzwa mpaka ikulu, how come wasijue kwa miaka yoote iyo!!?? point ya muhim ni kwamba umekubali kwamba viongozi wamelala!!
Upande wa CHADEMA nina ushahidi kuwa imejaa Rushwa.​Kacheki wabunge wa viti maalumu.MFANO Hawara wa mbowe anayeitwa Joyce MUKYA aliteuliwa kuwa mbunge viti maalumu kwa rushwa ya ngono. USHAHIDI wamezaa hadi mtoto.

Sijui hao unawaita chadema wameingiaje hapa!! bado sijaelewa!!
 
Big up EU! However, don't end up there! Help us to kick out these CCM tyrants, enough is enough!!!!
 
Ujinga hauondoki kwa sababu unajua kuandika, kusoma na kuongea kiingereza. Ina maana wewe hujui hata mikataba ya kimataifa ambayo nchi yetu imeridhia?

Mkuu yawezekana kutokana na ujinga wangu sijui hilo, hebu twekee mikataba ya kimataifa ambayo TZ iliingia na kuruhusu vyombo vya habari kufanya mambo kinyume cha sheria ya nchi pasipo kuadhibiwa!
 
Tanzania ni nchi huru, na ina sheria na taratibu zake zilizowekwa katika upashanaji wa habari, hakuna uhuru pasipo kutii sheria za nchi.

Kama wanataka, wakalichapishe hilo gazeti EU countries.

Sheria ni kwaajili ya watu na siyo watu wako kwaajili ya kutumikia sheria .Sheria zote zenye upumbavu ndani yake hazistahili kuheshimiwa bali kufutwa mara moja Rejea Taarifa ya Jaji Nyalali kuhusu SHERIA KANDAMIZI ZINAZOSTAHILI KUFUTWA.Ni vema tukajitendea haki tusijitoe ufahamu ndugu yangu.
 
Big up EU! However, don't end up there! Help us to kick out these CCM tyrants, enough is enough!!!!
EU are not Tanzanian voters!! Tanzanians Voters are the ones who can kick out a political party out of office.You have a colonial political mentality!! Education has not liberated your mind.
 
Tanzania ni nchi huru, na ina sheria na taratibu zake zilizowekwa katika upashanaji wa habari, hakuna uhuru pasipo kutii sheria za nchi.

Kama wanataka, wakalichapishe hilo gazeti EU countries.

Hayo ni mawazo mfu kutoka kwa mtu asiyekuwa na uwezo wa kufikiri.
 
The paper was deservedly given the taste of their own bitter pills, hope they behave more responsibly in future

If you are still in bed please enjoy youe sleep. Seemingly you are not aware of what is happening in the country
 
Eric Cartman unena vizuri sana...lakin mbona wao wanadai ni kutosajiliwa na sio kwa sababuza "national interest" kwanini wanaficha??

Kwanza kuhusu cartoon gazeti lilisema lilishaomba radhi kwa hiyo kosa eti ni kutosajiliwa. Kuna kitu kinafichwa hapa. Hao wanaosajili magazeti walikuwa wapi kwa miaka yote 20?
 
Last edited by a moderator:
hawa watu wanaitwa canada hawana impact yeyote nchini, hawa ndio wanaomiliki barrick gold/acacia na bao wanatuletea ngebe, hivi wanafaida gani? kama vipi na sisi tuwaletee fitina kwenye migodi tuone kama hawatatia heshima. misaada hawatoi, kuiba wanatuibia na wanaingilia mambo yetu ya ndani. fukuzia kule kwanza wao wanatuhitaji kuliko sisi kuwahitaji wao.

Kwani kwenye hiyo migodi si mliwafuata wenyewe na kuwaomba waje wenyewe.
Mara hii mshawachoka.
Tabia za ki changu kabisa hizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom