EU kutaka kesi ya Freeman Mbowe ifutwe hawajui kuwa Tanzania is a free State?

Hata kichaa anashangaa ugaidi unafanywa kwa gharama za laki 6 pesa za kitanzania ambayo ni kama USD 255!
 
ww upo hapa JF kwa kazi maalum nayo ni

* kuiimba mapambio ya SIFA na KUABUDU

*Kukosoa upinzani katika muktadha wa hali ya juu

*Kusifia CHAMA CHA MAITI (CCM!) hata kama kuona uonevu na ukandamizaji

*Kuhakikisha sifa za sirikali hii zinakuwa leading topics hapa JF

na upuuzi mwinginie .....Its a shame that na uandishi na ka-elimu kako uliko nako hauna uazalendo na true passion kwa nchi yako maana ww ni mtu wa kujali tumbo lako ma si maslahi mapana ya wana-nchi yao.


ila nataka nikuambie tu , Mwisho wenu waja na mtaanguka kwa kishindo kikubwa sanaa na ndipo nchi hii itapata kiongozi mwenye haki na uzalendo wa nchi hii

Fisiemu oyeeee
kidumu chama cha maiti
 
WAtanzania gani unataka wagutuke? Hawa wanaouziwa mafuta ya kula lita 8,000 na petrol lita 2,800?
 
UKITAKA SHERIA IFUATE UKWELI, KWANZA INGEANZA KWA HUYO MAMA YENU, AANZE TOKA KWENYE UCHAGUZI TUONE KAMA ATACHAGULIWA BILA YA MIKIKI YA POLISI; HALAFU NDIYO TUONGELEE ATI SHERIA AU UHALALI. Tuache ushabiki wa siasa kwenye sheria.
 
Mkuu Uzalendo ni kuisiliba nchi yako nje?

Uzalendo ni kutaka tukose misaada na hali yetu unaijua,

Hebu jaribu kufikiria vizuri,
 
Pole sana, kilio cha machozi ya kukamua huwa ni kikavu. Upige wewe, ulie wewe.
 
UKITAKA SHERIA IFUATE UKWELI, KWANZA INGEANZA KWA HUYO MAMA YENU, AANZE TOKA KWENYE UCHAGUZI TUONE KAMA ATACHAGULIWA BILA YA MIKIKI YA POLISI; HALAFU NDIYO TUONGELEE ATI SHERIA AU UHALALI. Tuache ushabiki wa siasa kwenye sheria.
Nikweli,

TUACHE USHABIKI WA KISIASA KWENYE SHERIA
 
Kwahiyo ukiwa huru hata kama unafanya mambo ya hovyo Dunia ikuangalie tuu, muwe mnaleta post zenye maana na uposti kitu ukiwa umefikiria kwanza sio unaposti kwa sababu tu una bando
 

Tanzania sio nchi huru, bali inakaliwa kimabavu na chama kiitwacho ccm bila ridhaa ya umma. Ccm imeendelea kukaa madarakani kwa shuruti kupitia chaguzi za kishenzi, kikatili na kihayawani, huku ccm ikiwa na ushirikiano wa kihalifu kati yake na vyombo vya dola, na tume ya uchaguzi. Sasa hivi wananchi hawajitokezi tena kwa wingi kupiga kura kwakuwa wanaona wazi kuwa box la kura linanajisiwa. Fuatilia uchaguzi mdogo unaoendelea hivi sasa huko Ngorongoro.

Kwa taarifa yako nchi, taifa au umoja wowote ule utakaokuja na kutupa nguvu ya kuondoa ccm madarakani, tutawapa ushirikiano wowote waoutakao kama Walibya walivyotoa ushirikiano kwa US na Ulaya, hadi kumuondoa dictator katili Gaddafi. Hatuko tayari tena kuendelea kutawaliwa na chama kisicho na ridhaa ya umma.

Huyo mama haleti diplomasia yoyote, bali anazurura huko duniani kuhadaa ulimwengu ili uchafu unaondelea hapa nchi usifahamike. Uchafu wote unaoendelea hapa nchini tunaujua sisi wananchi. Wapinzani wamejaa kwenye magereza kwa kesi za kubambikiwa, huyo Mbowe hadi leo yuko gerezani kwa maagizo ya watawala wa CCM, lengo ni kuzuia madai ya kupatikana kwa katiba mpya.
 
Kwahiyo ukiwa huru hata kama unafanya mambo ya hovyo Dunia ikuangalie tuu, muwe mnaleta post zenye maana na uposti kitu ukiwa umefikiria kwanza sio unaposti kwa sababu tu una bando
Mbona unajibu kama ni ujinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…