EU kutaka kesi ya Freeman Mbowe ifutwe hawajui kuwa Tanzania is a free State?

mbowe sio malaika na anaweza kukosea ila kwa ujinga unaoendelea kwenye hii kesi ni mpumbavu pekee anaweza kuunga mkono ujinga ule
Ngoja mahakama itatoa hukumu, Mahakama zetu ziko huru sana awamu wa Sita
 
Ndio maana yake,
ata nyasi tutakula

465.jpg
 
CHADEMA hamjawahi kuwa na Uchungu kwa Taifa lenu hata maramoja,

Ndio maana lichama linakufa kibudu,
Utasubiri saana hili CHAMA KUBWA life.
Njoo pale LAW SCHOOL uone jinsi kesi ya kina Mbowe inavyoendeshwa.
Leo unalikataa hili kesho unalikubali hilo hilo.
Tunaweka precedents ambazo zitawanyima watu haki baadae.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mpuuzi wewe kila siku mnaenda kuomba misaada mbona hamsemi kama Tanzania ni nchi huru ijitengemee? acha wazungu watusaidie kunyoosha hawa watawala makatili wasiofaa mbele za MUNGU.
Mpuuzi ni wewe usiejielewa kabisa nakuonaga humu ndani unavyoongeaga pumba kwanza ondoa hilo jina la babati hatunaga watu wajinga bbt
 
Chamadema ni watu wasiojali masilahi ya nchi hata kidogo pacha,

Leo Lissu anafanya nini Ubelgiji wakati Magufuli aliyetuaminisha alitaka kumuua alishakufa
Mbona kesi alizonuia huyo mtu kabla ya kifo chake mnaziendeleza hata baada ya kifo chake? Kama hizo mnaziendeleza tena Kwa gharana za walipa kodi hao wengine usalama wao mtauhakikishaje? Mnataka warudi ili muwakamate?
 
Chadema ni jamii Frani ya nyoka yenye vichwa viwili ,hawangalii madhara yanayoweza kuwapata Watanzania hasa WA kipato cha chini, wao ni kubwatuka tu. Wanasheria Bora na wabobezi Wapo chadema Sasa wanaogopa nini, kesi IPO Mahakama pambaneni vidume
 
===
Tanzania ni nchi huru tena Uhuru wake ni wa miaka sitini (60) sasa

Tanzania kama zilivyo nchi nyingine za EU inayo sheria,kanuni na taratibu za kuongoza watu wake ili waishi na kujiletea maendeleo yao kwa amani na Utulivu
Ingekuwa free state, ingekubali mbinyo wa WB, juu ya mtoto wa kike kurudi shule?ambapo mmebadirishia gia angani??"MASIKINI HUWA HANA MSIMAMO WA KUDUMU"huo ndio ukweli, msimamo wenu wa covid 19, uliishia wapi mbona leo umeufyata na kuchukua pesa zao na ndizo zinazojenga madarasa nchi nzima?
 
===
Tanzania ni nchi huru tena Uhuru wake ni wa miaka sitini (60) sasa

Tanzania kama zilivyo nchi nyingine za EU inayo sheria,kanuni na taratibu za kuongoza watu wake ili waishi na kujiletea maendeleo yao kwa amani na
Hilo unalilopotezea muda kulisemea la bifu la mbowe na sabaya hai ndio ugaidi? Unajua maana ya ugaidi na unafanyikaje? Na magogo yawekwe Dar,Moro na miji mikubwa ili kupambana na Sabaya
Mbowe achome visima vya mafuta kisa Sabaya?
Nchi isitawalike sio Hai kisa Sabaya
Plan ya kuua viongozi sio kiongozi mmoja
Na mpaka leo kuna kitu kimewasilishwa mahakamani kinachotoa hata chembe ya hicho kilichoelezwa kukata magogo,nchi isitawalike,kuua viongozi na kuchomwa mafuta?
Zaidi wamefanya janja tu ya kujipatia posho za bure za mahakamani wanadhani watz wajinga
Kesho wadai DPP hana Nia hiyo
Ndugu yangu tumia akili kuna Jambo linastahili kumtuhumu mtu Kariba ya mbowe au kiongozi yyt wa kisiasa lakini sio upuuzi huu
 
Mbona kesi alizonuia huyo mtu kabla ya kifo chake mnaziendeleza hata baada ya kifo chake? Kama hizo mnaziendeleza tena Kwa gharana za walipa kodi hao wengine usalama wao mtauhakikishaje? Mnataka warudi ili muwakamate?
Haki ni gharama, Sheria lazima zilindwe
 
Back
Top Bottom