EU court removes Hamas from terror blacklist

Status
Not open for further replies.
Inamaana katika hiyo ramani hujaona Galatia ilipo!? Kipindi kile Galatia ilikuwepo sehemu ya kusini ya mkoa wa Kirumi. Makanisa ya Galatia yaliyoanzishwa na Paulo yalikuwa ya Antiokia, Ikonio, Listra na Derbe (Matendo 13:13-14:23), baaadae Paulo alirudi katika Antiokia ya Shamu(Syria) (Matendo 14:26-28) akiwa huko Antiokia ya Shamu ndio inafikiriwa aliandika barua kwa Wagalatia alipoishi huko Antiokia ya Shamu wakati huo...

Ingekuwa ni kipindi hichi basi ni Uturuki ndipo Galatia ilipokuwa, Kipindi hicho eneo lote hilo lilikuwa ni Dola ya Rumi...
Kwanini hawana nchi? Wakati wao ni taifa linalotambuliwa kibiblia?
If ancient nations have to have a state just because the bible/ Quran recognized them.
 
So if Hamas is not a terrorist organization, what does one call a group of 'people' who attack children, babies and pregnant women and brutally murder innocent civilians standing at a train station. What do you call a homocide bomber on a bus who commits mass murder to get to their 72 virgins. What do you call a group of people calling for the destruction of a sovereign state where all freedoms are enjoyed by all religions. If these are not terrorists please, someone explain what this murderous lot is titled?

Z

kuna wakati Yesser Arafat ambaye alikuwa kiongozi wa kundi la kigaidi la PLO alipewa tuzo ya amani ya Nobel . He was the worst man ever to win Nobel Prize.!(1994) Bora wangenipa mimi hii tuzo.
Alipewa Tuzo hiyo sambamba na viongozi wa Israel wakina Yitzak Rabin na Shimon Peres.
arafat.jpg

peres.jpg
rabin.jpg

Kitendo kama hiki kilisaidia pale alipojikuta amekaa meza moja na fine people, na kikapunguza U-radical wake. NAkumbuka Sadam hussein alishauriwa na Kofi Anan aache kuvaa nguo za mgambo badala yake awe anavaa suti. Alizingatia huo ushauri akawa angalau gentleman.

Nadhani EU wanajaribu ku apply different approaches ili kudhohofisha Ugaidi wa waarabu duniani. Make your enenmey a friend. IKiwa HAmas watajikuta wanatambuliwa na wanaheshimiwa na wazungu, probably wataacha ama kupunguza inferirority complex yao inayofafanya wajitutumue duniani kuwa wanao ubavu wakati wanatumia upinde na Mwisraeli anamiliki bunduki.

hii inaweza kusaidia kuwafanya wajifunze kuvaa suti na wao badala ya vazi la ninja kama matineja, na pia itawasaidia kuelewa wazungu wanawaza nini.
Unajua Tatizo nilionalo kwa waarabu ni kuwa huwa wanakaa wenyewe, na kupitia kukaa wenyewe huwa wanadanganyana wakilishana matango pori na conspiracies, dhidi ya wazungu na Israel.huku wakidhani upande wa pili wa coin unawafikiria jinsi wanavyojifikiria. Nafikiri hii inaweza kufanya wakaachana na mbinu za kishetani za Ugaidi pale mashariki ya kati.
 
Kwanini hawana nchi? Wakati wao ni taifa linalotambuliwa kibiblia?
If ancient nations have to have a state just because the bible/ Quran recognized them.
Wapi kwenye Biblia Galatia imetambuliwa kama Taifa!? Labda nikuulize, ni kwanini sasa hivi Warumi hawatawali maeneo yote hayo!? kwasababu Empire ya Rumi ilikuwa ni kubwa... Rumi ya mashariki walikuwa na makao makuu huko Uturuki, Ottoman walikuja kuchukua...

Halafu kwani wapi Wagalatia wanapigania eneo lao kama Wapalestina!? Huo mfano wako haufanani na wa Israel... Israel inatambuliwa kwakuwa imetajwa pote... na historia ya Israel inajulikana, hata baadhi ya nchi pale Mashariki ya kati, ndio maana zipo mahali pake... Je hao Wa Palestina walitokea wapi!? Utamaduni wao upo vipi!? Rais wa kwanza wa Palestina ni nani!? alianza kutawala lini!? kabla yake kulikuwa kuna nini!?
 
Ilikuwaje walikimbia. nchi yao mpaka wakakutana Hitler pale Ujerumani ?
 
Z

kuna wakati Yesser Arafat ambaye alikuwa kiongozi wa kundi la kigaidi la PLO alipewa tuzo ya amani ya Nobel . He was the worst man ever to win Nobel Prize.!(1994) Bora wangenipa mimi hii tuzo.
Alipewa Tuzo hiyo sambamba na viongozi wa Israel wakina Yitzak Rabin na Shimon Peres.
arafat.jpg

peres.jpg
rabin.jpg

Kitendo kama hiki kinasaidia pale alipojikuta amekaa meza moja na fine people, na kinapunguza U-radical wake. NAkumbuka Sadam hussein alishauriwa na Kofi Anan aache kuvaa nguo za mgambo badala yake awe anavaa suti. Akazingatia huo ushauri.

Nadhani EU wanajaribu ku apply different approaches ili kudhohofisha Ugaidi wa waarabu duniani. Make your enenmey a friend. IKiwa HAmas watajikuta wanatambuliwa na wanaheshimiwa na wazungu, probably wataacha ama kupunguza inferirority complex yao inayofafanya wajitutumue duniani kuwa wanao ubavu wakati wanatumia upinde na Mwisraeli anamiliki bunduki.

hii inaweza kusaidia kuwafanya wajifunze kuvaa suti na wao badala ya vazi la ninja kama matineja, na pia itawasaidia kuelewa wazungu wanawaza nini.
Unajua Tatizo nilionalo kwa waarabu ni kuwa huwa wanakaa wenyewe, na kupitia kukaa wenyewe huwa wanadanganyana wakilishana matango pori na conspiracies, dhidi ya wazungu na Israel.huku wakidhani upande wa pili wa coin unawafikiria jinsi wanavyojifikiria. Nafikiri hii inaweza kufanya wakaachana na mbinu za kishetani za Ugaidi pale mashariki ya kati.

Si ajabu Wagalatiia mnashindwa kuutofatisha Mungu na picha ya mzungu
 
So if Hamas is not a terrorist organization, what does one call a group of 'people' who attack children, babies and pregnant women and brutally murder innocent civilians standing at a train station. What do you call a homocide bomber on a bus who commits mass murder to get to their 72 virgins. What do you call a group of people calling for the destruction of a sovereign state where all freedoms are enjoyed by all religions. If these are not terrorists please, someone explain what this murderous lot is titled?
Sasa wewe unawaona hawa terorist ambao wanadai uhuru wao, je waisrael wanaua watu kutoka angani kwanini hawaitwi terrorist, Hammas ni freedom fighters hatuzishangai kuitwa hivyo na nchi za magharibi hata Mandela aliitwa terrorist alipoanza kudai uhuru.
 
That court should and must order The US and Israel be in the blacklist of terrorist Nations.
 
Sasa wewe unawaona hawa terorist ambao wanadai uhuru wao, je waisrael wanaua watu kutoka angani kwanini hawaitwi terrorist, Hammas ni freedom fighters hatuzishangai kuitwa hivyo na nchi za magharibi hata Mandela aliitwa terrorist alipoanza kudai uhuru.
katiba yao inatosha kuwa-listi kwenye kundi moja la terrorist organization. wana mikakati kama ISIS, Taleban, Bokoharam, Ashshabaab, Nusra front, Muslim brotherhood n.k. google uione..
 
Wapi kwenye Biblia Galatia imetambuliwa kama Taifa!? Labda nikuulize, ni kwanini sasa hivi Warumi hawatawali maeneo yote hayo!? kwasababu Empire ya Rumi ilikuwa ni kubwa... Rumi ya mashariki walikuwa na makao makuu huko Uturuki, Ottoman walikuja kuchukua...

Halafu kwani wapi Wagalatia wanapigania eneo lao kama Wapalestina!? Huo mfano wako haufanani na wa Israel... Israel inatambuliwa kwakuwa imetajwa pote... na historia ya Israel inajulikana, hata baadhi ya nchi pale Mashariki ya kati, ndio maana zipo mahali pake... Je hao Wa Palestina walitokea wapi!? Utamaduni wao upo vipi!? Rais wa kwanza wa Palestina ni nani!? alianza kutawala lini!? kabla yake kulikuwa kuna nini!?
Wagalatia ni taifa la zamani, hawapiganii eneo kwa sababu wameishi na watu wengine wakazaa na kuchanganyika na waturuki, wamacedonia, wagiriki etc...

Wangoni,ni wazulu waliokimbia vita na wakazaa na kuchanganyika, hawadai nchi yao. Wapalestina ni philistines, au wafilisti ambalo nalo ni taifa la zamani lililochanganyika na mataifa mengi tu, wakiwamo waarabu ambao ni watu wa mwisho kukalia eneo hilo.
Tatizo la wayahudi ni kutaka kuchukua eneo ambalo mababu zao walilikimbia na kuwafukuza wakaazi wa eneo hilo. Sawa na wangoni warudi Kwazulu kuanzisha taifa lao. Ni ujinga!
 
Ilikuwaje walikimbia. nchi yao mpaka wakakutana Hitler pale Ujerumani ?

Ilitabiriwa kutokana na kutokutii kwao... Walikuwa wakitawanywa halafu wanarudi tena Wababiloni walishwahi wachukua mateka chini ya Nebkadreza, hapo ilikuwa ni kabla ya Yesu,waliangamiza kila kilichosalia Israel, Wakabomoa Yerusalem, wakaharibu kabisa Hekalu. Waisrael walikaa huko matekani kwa muda wa miaka sabini kama nabii Yeremia alivyotabiri

Yeremia 25:8-10

8 Basi Bwana wa majeshi asema hivi, Kwa kuwa hamkuyasikiliza maneno yangu,
9 angalieni, nitapeleka watu na kuzitwaa jamaa zote za upande wa kaskazini, asema Bwana, nami nitatuma ujumbe kwa Nebukadreza, mfalme wa Babeli, mtumishi wangu, nami nitawaleta juu ya nchi hii, na juu yao wakaao ndani yake, na juu ya mataifa haya yote yaliyopo pande zote; nami nitawaangamiza kabisa, na kuwafanya kitu cha kushangaza, na kitu cha kuzomewa, na ukiwa wa daima.
10 Tena, nitawaondolea sauti ya kicheko, na sauti ya furaha, sauti ya bwana arusi, na sauti ya bibi arusi, sauti ya mawe ya kusagia, na nuru ya mishumaa.

Yeremia na Manabii wengine walitabiri kuwa Israel wataruhusiwa kurudi baada ya miaka sabini na kujenga upya taifa lao, Baada ya kurudi na kuwa taifa wataendelea kumuasi na kutomtii Mungu watatawanywa tena

Kumbukumbu 28:64 Bwana atakutawanya katika mataifa yote, tokea ncha hii ya dunia hata ncha hii ya dunia; nawe huko utatumikia miungu mingine usiyoijua wewe wala baba zako, nayo ni miti na mawe.

Yesu aliongezea kwa ufasaha zaidi juu ya Unabii huu wakati alipokuwa hapa ulimwenguni. Yesu aliwaeleza ukweli baada ya kudhihirika wamekwisha mkataa, kwasababu wamekataa mafundisho na maonyo yake

Mathayo 24:2 Naye akajibu akawaambia, Hamyaoni haya yote? Amin, nawaambieni, Halitasalia hapa jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomoshwa.

Hilo lilikuja kutokea mwaka 70 baada ya Waisrael walivyokuja kusambaratishwa na Warumi chini ya Tito, halafu angalia hapa chini Musa alivyosema...

Kumbukumbu 28:65 Wala katika mataifa hayo hutapata raha iwayo yote, wala hutakuwa na kituo cha wayo wa mguu wako; lakini Bwana atakupa huko moyo wa kutetema, na macho ya kuzimia, na roho ya kudhoofika;

Kukata Story bwana Ally, tumalize na hili andiko...

Ezekiel 36:24 Maana nitawatwaa kati ya mataifa, nami nitawakusanya na kuwatoa katika nchi zote, na kuwarudisha katika nchi yenu wenyewe.
 
So if Hamas is not a terrorist organization, what does one call a group of 'people' who attack children, babies and pregnant women and brutally murder innocent civilians standing at a train station. What do you call a homocide bomber on a bus who commits mass murder to get to their 72 virgins. What do you call a group of people calling for the destruction of a sovereign state where all freedoms are enjoyed by all religions. If these are not terrorists please, someone explain what this murderous lot is titled?
That is exactly what Israel does to Palestinians.
Link Gaza: Israeli Soldiers Shoot and Kill Fleeing Civilians | Human Rights Watch

Link The U.N. says 7 in 10 Palestinians killed in Gaza were civilians. Israel disagrees. - The Washington Post

Not only that Israel also occupies the land of Palestinians.

Link Israeli Occupation Archive – Israel's war against Palestine

Israel inaiba hata maji. Israel Steals Palestinian Resources. Gaza without Water and Electricity | Global Research

Haitotokea kwa wewe Ishmael baada ya kujua unyama na ugaidi huu wanaofanya wazayuni wa Israel, kuwa mkweli na kuwaita Israel, the "real" terrorists.
 
Wagalatia ni taifa la zamani, hawapiganii eneo kwa sababu wameishi na watu wengine wakazaa na kuchanganyika na waturuki, wamacedonia, wagiriki etc...

Wangoni,ni wazulu waliokimbia vita na wakazaa na kuchanganyika, hawadai nchi yao. Wapalestina ni philistines, au wafilisti ambalo nalo ni taifa la zamani lililochanganyika na mataifa mengi tu, wakiwamo waarabu ambao ni watu wa mwisho kukalia eneo hilo.
Tatizo la wayahudi ni kutaka kuchukua eneo ambalo mababu zao walilikimbia na kuwafukuza wakaazi wa eneo hilo. Sawa na wangoni warudi Kwazulu kuanzisha taifa lao. Ni ujinga!

Lakini Historia ya Israel ni tofauti na hao wote, kwenye bandiko langu #34 nimejaribu kugusia kidogo sijashuka sana... Hawa jamaa walikuwa wanatawanywa halafu wanarudi tena, kwa mfano Wababiloni waliwahi kuwatawanya hapo ilikuwa ni kabla ya Kristo, kipindi hicho ndio wakawachukua kina Danieli mateka... mpaka baadae kina Ezra na Nehemia wakarudi kuijenga... baadae Warumi wakaja kuwatawanya tena... Kwa hiyo historia yao ni tofauti na hao...
 
The West is not tired of Israel but tired with People who called Palestinians. These people have no nation, not language, no currency, no birth certificate, no military, no banks, they have nothing. These people are not even mention in the Quran.

The simple question here is this: Allah alipo sema na au waita na au Wataja Waisrael kwenye Quran, Waisraeli hao, walikuwa wanatoka Nchi gani?

CC: Eiyer Mkuu wa chuo 2013

Ha ha ha aaaaaa this dog's day has come!!!!
 
Last edited by a moderator:
6
Sharia court will come sooner or later, now we have Shariah banking, stop that if you can. Imbecile.

Sharia banking itakuwa most inferior bank system of all time.Haitawakaribia WB, IMF, BRIC bank wala SaCcoS kwa ubora.

NBC iliuzwa kifisadi, sasa hivi Inataka kufilisika. Laana za wizi wa Mali ya Umma.

Sasa kama MTU atakopa na kushindwa kulipa sijui mtamkata mikono na miguu kwa coin?! Si ndo ugaidi utaenea zaidi kuliko sasa?!.

Sijui kama Allah na mesenja wake kama waliwahi kuwa na bank ama wanauzoefu wowote na chakula ambacho bank inategemea ili kujiendesha? Labda kama wataendesha kwa kuchoma ubani.

Wala usiite bank, that is a fake bank. nashauri iite Shariah financial Charity based system.
Mahesabu ya kibenki lazima ukalkuleti kitu waNaita interest rate, pbp, Irr, discount rate, balance sheet, n.k.

....mesenja kaleta balaa nyumbani kwa meneja bila kufahamuuuuuu....
 
The West is not tired of Israel but tired with People who called Palestinians. These people have no nation, not language, no currency, no birth certificate, no military, no banks, they have nothing. These people are not even mention in the Quran.

The simple question here is this: Allah alipo sema na au waita na au Wataja Waisrael kwenye Quran, Waisraeli hao, walikuwa wanatoka Nchi gani?

CC: Eiyer Mkuu wa chuo 2013
Unaijua Nchi aliyotawala Pharao/ Firauni?

Walikimbia kwa Firauni.

Halafu baada ya miaka mingi tena
Unajua maeneo aliyotawala Hitler?
Tena wamekimbia mateso ya wazungu wenzao. Hawa ni wazungu waliobadili dini na si wayahudi wa asili.

Kama Quran inawataja hao wayahudi ni wazi sio hawa akina Goldberg, Aneistein. Netanyahu, Ariel Sharon, Gidion, au Shimon Perez. Qurani inataja Wayahudi waliokuwa wanajifanya huku wako na kule wako ambao waliishi miongoni mwa waarabu na kuwa na maingiliano ya kibiashara. we unajua wayahudi ni wapenda riba? Wanapenda kudhulumu.

Soma Quran vizuri ujue kwa nini wametajwa hawa wayahudi , tena sio hao walioingia uyahudi (wazungu) kwa kujibatiza/kubadili dini. Unaona hapa unazungumzia dini na sio uzao wa asili. Wale wa asili walikuwa wamechanganyika na waarabu mbele kwa mbele.

Wewe ata hiyo Historia ya kijiji/vijiji vya wayahudi wa kale huijui.

Unazungumzia wazayuni wa kizungu waliojibambikiazia uyahudi. Kama wewe unavyojibambikizia uyahudi(dini) wakati wewe ni wa Paulo. Paulo ndio alianzisha Kanisa na kuwaita ninyi wakristo(wagalatia). Yaani mnamwabudu Yesu mtoto wa Mariamu. Yesu mwenyewe alimwabudu Mungu, Mungu wa mama yake na wa mababu zake.

Na siku ikifika Yesu atawakana na kuwaambia hawatambui.

"But he will reply, 'I don't know you or where you come from. Away from me, all you evildoers!'

Link Myth Of A Jewish Nation Invented A Century Ago

Last edited by a moderator:
Lakini Historia ya Israel ni tofauti na hao wote, kwenye bandiko langu #34 nimejaribu kugusia kidogo sijashuka sana... Hawa jamaa walikuwa wanatawanywa halafu wanarudi tena, kwa mfano Wababiloni waliwahi kuwatawanya hapo ilikuwa ni kabla ya Kristo, kipindi hicho ndio wakawachukua kina Danieli mateka... mpaka baadae kina Ezra na Nehemia wakarudi kuijenga... baadae Warumi wakaja kuwatawanya tena... Kwa hiyo historia yao ni tofauti na hao...
The point is, wapalestina wana haki ya kuwa na nchi inayotambulika kimataifa na mipaka yake iwe kama Uingereza ilivyoiacha. La hasha, iwe pre-1967 kama moderates wanavyodai.
Huwezi kuwa mpenda haki na kukataa hilo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom