EU court removes Hamas from terror blacklist

EU court removes Hamas from terror blacklist

Status
Not open for further replies.
Unaijua Nchi aliyotawala Pharao/ Firauni?

Walikimbia kwa Firauni.

Halafu baada ya miaka mingi tena
Unajua maeneo aliyotawala Hitler?
Tena wamekimbia mateso ya wazungu wenzao. Hawa ni wazungu waliobadili dini na si wayahudi wa asili.

Nonda what is going on here? Allah alipo sema na au waita na au Wataja Waisrael kwenye Quran, Waisraeli hao, walikuwa wanatoka Nchi gani?

Si ujibu hilo swali ili yaishe.
 
Ha ha ha aaaaaa this dog's day has come!!!!
Hebu tusaidia hapa:
The simple question here is this: Allah alipo sema na au waita na au Wataja Waisrael kwenye Quran, Waisraeli hao, walikuwa wanatoka Nchi gani?
 
That is exactly what Israel does to Palestinians.
Link Gaza: Israeli Soldiers Shoot and Kill Fleeing Civilians | Human Rights Watch

Link The U.N. says 7 in 10 Palestinians killed in Gaza were civilians. Israel disagrees. - The Washington Post

Not only that Israel also occupies the land of Palestinians.

Link Israeli Occupation Archive – Israel’s war against Palestine

Israel inaiba hata maji. Israel Steals Palestinian Resources. Gaza without Water and Electricity | Global Research

Haitotokea kwa wewe Ishmael baada ya kujua unyama na ugaidi huu wanaofanya wazayuni wa Israel, kuwa mkweli na kuwaita Israel, the "real" terrorists.
You are claiming that Israel is occupying Palestine land, but you are simultaneously refusing to tell me and or answer my question.

The simple question here is this: Allah alipo sema na au waita na au Wataja Waisrael kwenye Quran, Waisraeli hao, walikuwa wanatoka Nchi gani?
 
Sasa wewe unawaona hawa terorist ambao wanadai uhuru wao, je waisrael wanaua watu kutoka angani kwanini hawaitwi terrorist, Hammas ni freedom fighters hatuzishangai kuitwa hivyo na nchi za magharibi hata Mandela aliitwa terrorist alipoanza kudai uhuru.
Uhuru wao katika nchi gani? Mbona unashindwa tuletea ushahid kuwa wao wana ardhi na walinyang'anywa? I asked this question and you have refused to answer me.

The simple question here is this: Allah alipo sema na au waita na au Wataja Waisrael kwenye Quran, Waisraeli hao, walikuwa wanatoka Nchi gani?
 
Z

kuna wakati Yesser Arafat ambaye alikuwa kiongozi wa kundi la kigaidi la PLO alipewa tuzo ya amani ya Nobel . He was the worst man ever to win Nobel Prize.!(1994) Bora wangenipa mimi hii tuzo.
Alipewa Tuzo hiyo sambamba na viongozi wa Israel wakina Yitzak Rabin na Shimon Peres.
arafat.jpg

peres.jpg
rabin.jpg

Kitendo kama hiki kilisaidia pale alipojikuta amekaa meza moja na fine people, na kikapunguza U-radical wake. NAkumbuka Sadam hussein alishauriwa na Kofi Anan aache kuvaa nguo za mgambo badala yake awe anavaa suti. Alizingatia huo ushauri akawa angalau gentleman.

Nadhani EU wanajaribu ku apply different approaches ili kudhohofisha Ugaidi wa waarabu duniani. Make your enenmey a friend. IKiwa HAmas watajikuta wanatambuliwa na wanaheshimiwa na wazungu, probably wataacha ama kupunguza inferirority complex yao inayofafanya wajitutumue duniani kuwa wanao ubavu wakati wanatumia upinde na Mwisraeli anamiliki bunduki.

hii inaweza kusaidia kuwafanya wajifunze kuvaa suti na wao badala ya vazi la ninja kama matineja, na pia itawasaidia kuelewa wazungu wanawaza nini.
Unajua Tatizo nilionalo kwa waarabu ni kuwa huwa wanakaa wenyewe, na kupitia kukaa wenyewe huwa wanadanganyana wakilishana matango pori na conspiracies, dhidi ya wazungu na Israel.huku wakidhani upande wa pili wa coin unawafikiria jinsi wanavyojifikiria. Nafikiri hii inaweza kufanya wakaachana na mbinu za kishetani za Ugaidi pale mashariki ya kati.
Huyo jamaa kazaliwa Misri. Baba yake ni kutoka Misri, yaani taaabu kweli kweli.
 
Si ajabu Wagalatiia mnashindwa kuutofatisha Mungu na picha ya mzungu
Mungu ni mweupe..na shetani ni mweusi... kuna ayati inasema anyone who say the prophet(Muhammad) is black should be killed!!!
nitajie nabii mweusi aliyeko kwenye koran. - watu wote walikuwa watumwa weusi.. hakuna hata mmoja aliyekuwa free.
 
" Ja'a L haq wa Zahaqa L batel, Inna Lbatel kana Zahooka " Hakika Haki imedhirika, Na Uovu umetoweka .....!!
 
Ji funze nini maana ya taifa.
Inaweza kukusaidia kuwa na upeo mkubwa wa kuelewa kuliko ulionao sasa. Just take your time, peruzi.

Wagalatia = Galatians ....

Poor muhammadan hajui hapa wapi ilipo Galatia. I guess you believe in government, that's where the liberals took us. I suppose your one of the brainiacs that believe aliens are going to destroy the human race next year because we did'nt go green fast enough, no joke, that came from a liberal that worked for NASA
 
Mnamuua mungu wenu halafu mnasheherekeaa. aatii. mnaita pasaka !
Hiyo cha mtoto,
Nyie mna mfukuza MAlaika wa kweli anayejaribu kuokoa maisha ya Ishamel asichinjwe na baba yake Ibrahim. Badala yake mnamtukuza Allah anayetaka kuona damu ya Ishmael ikimwagika. Kila mwaka mnaadhimisha na kusheherekea, mnaita Haji eti mnampiga mawe shetani... nyinyi ni wa kuhurumiwa kwakweli..eti Ibrahim alimfukuza Shetani. Which is which?!??!?!?!?!
Sasa nani ni shetani hapa..je ni Allah anayetaka kumchinja Ishmael ama Yule aliyetaka kuokoa maisha ya IShmael.??
 
Poor muhammadan hajui hapa wapi ilipo Galatia. I guess you believe in government, that's where the liberals took us. I suppose your one of the brainiacs that believe aliens are going to destroy the human race next year because we did'nt go green fast enough, no joke, that came from a liberal that worked for NASA
It's not even fair to argue with someone like you ... I mean really, not fair.
 
Sharia court will come sooner or later, now we have Shariah banking, stop that if you can. Imbecile.

Na sharia insurance inakuja Takaful.
Pia islamic investments funds Sukuk zinakuja soon.....pole pole mtatahiriwa ...
 
Ilitabiriwa kutokana na kutokutii kwao... Walikuwa wakitawanywa halafu wanarudi tena Wababiloni walishwahi wachukua mateka chini ya Nebkadreza, hapo ilikuwa ni kabla ya Yesu,waliangamiza kila kilichosalia Israel, Wakabomoa Yerusalem, wakaharibu kabisa Hekalu. Waisrael walikaa huko matekani kwa muda wa miaka sabini kama nabii Yeremia alivyotabiri

Yeremia 25:8-10

8 Basi Bwana wa majeshi asema hivi, Kwa kuwa hamkuyasikiliza maneno yangu,
9 angalieni, nitapeleka watu na kuzitwaa jamaa zote za upande wa kaskazini, asema Bwana, nami nitatuma ujumbe kwa Nebukadreza, mfalme wa Babeli, mtumishi wangu, nami nitawaleta juu ya nchi hii, na juu yao wakaao ndani yake, na juu ya mataifa haya yote yaliyopo pande zote; nami nitawaangamiza kabisa, na kuwafanya kitu cha kushangaza, na kitu cha kuzomewa, na ukiwa wa daima.
10 Tena, nitawaondolea sauti ya kicheko, na sauti ya furaha, sauti ya bwana arusi, na sauti ya bibi arusi, sauti ya mawe ya kusagia, na nuru ya mishumaa.

Yeremia na Manabii wengine walitabiri kuwa Israel wataruhusiwa kurudi baada ya miaka sabini na kujenga upya taifa lao, Baada ya kurudi na kuwa taifa wataendelea kumuasi na kutomtii Mungu watatawanywa tena

Kumbukumbu 28:64 Bwana atakutawanya katika mataifa yote, tokea ncha hii ya dunia hata ncha hii ya dunia; nawe huko utatumikia miungu mingine usiyoijua wewe wala baba zako, nayo ni miti na mawe.

Yesu aliongezea kwa ufasaha zaidi juu ya Unabii huu wakati alipokuwa hapa ulimwenguni. Yesu aliwaeleza ukweli baada ya kudhihirika wamekwisha mkataa, kwasababu wamekataa mafundisho na maonyo yake

Mathayo 24:2 Naye akajibu akawaambia, Hamyaoni haya yote? Amin, nawaambieni, Halitasalia hapa jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomoshwa.

Hilo lilikuja kutokea mwaka 70 baada ya Waisrael walivyokuja kusambaratishwa na Warumi chini ya Tito, halafu angalia hapa chini Musa alivyosema...

Kumbukumbu 28:65 Wala katika mataifa hayo hutapata raha iwayo yote, wala hutakuwa na kituo cha wayo wa mguu wako; lakini Bwana atakupa huko moyo wa kutetema, na macho ya kuzimia, na roho ya kudhoofika;

Kukata Story bwana Ally, tumalize na hili andiko...

Ezekiel 36:24 Maana nitawatwaa kati ya mataifa, nami nitawakusanya na kuwatoa katika nchi zote, na kuwarudisha katika nchi yenu wenyewe.

Hio ni laana ya Mungu kwao na itakuwa hivyo mpaka watamaliza wayahudi wote duniani.
Kama wayahudi ndio waloenea iraq yemen eygpt tunisia palestine oman na kote walikua ni nchi za mayahydi watupu na kutokana na laana wakapigwa na kuuliwa na kukimbia hovyo duniani mpaka leo wamebaki a handfull of thugs wanajukusanya tena pamoja na bado hawakomi wanafanya mauaji na fitina duniani soon the final blow litawafika maana hii ni ahadi ya mungu wao .
Hivyo kujikusanya hapo kwenye kaa nchi kadogo ni na kufanyiwa kampeni kwa kupewa pesa warudi huko ili yatimie .sooner watapata kichapo cha laana na sio kutoka kwa waislam wazungu hao hao wataendelea kuwabamiza
 
Crabat mi naona viceversa..
Kumbuka Koran imetabiri kuwa mwishowe watarudi nchi yao ya ahadi. Hii INA maana inajua wazi watatawanyika kabla ya kurudi...
 
Na sasahivi pamoja na kuitegemea sana marekani, na pamoja kuwa na population ndogo still 80% ya waisrael ni maskini
 
Nonda what is going on here? Allah alipo sema na au waita na au Wataja Waisrael kwenye Quran, Waisraeli hao, walikuwa wanatoka Nchi gani?

Si ujibu hilo swali ili yaishe.
Ishamel.

Wayahudi wametajwa wapi katika Quran?

Weka ayat kama ushahidi na context yake.

Unaulizia NCHI au kijiji?
 
Crabat mi naona viceversa..
Kumbuka Koran imetabiri kuwa mwishowe watarudi nchi yao ya ahadi. Hii INA maana inajua wazi watatawanyika kabla ya kurudi...
Weka ayat kama unasema kweli.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom