Eti Watanzania hatuelewi ni kwanini Uingereza wanampa fedha Rais?

kumbe hata hela za kutoka nje ya nchi zinawauma? lengo la upinzani ni kuona serikali inakwama ila kwa utawala huu mtapata tabu sana.Ambaye anataka demokrasia akaandamane tumuone,awamu zilizopita mnadai kulikuwa na demokrasia je imetufikisha wapi? IF MAGUFULI IS A DICTATOR LET HIM BE.
 
Acha pumba ,pesa aliotoa mwingereza ni msaada tena muhimu kwa ustawi wa nchi yetu.
Huyo mwingereza unamjua vizuriau unamsikia tu?
Unafikiri vijisenti alivyotupa vina impact kwa uchumi wake?
Labda wewe kama sio mwananchi imekula kwako na kama mwananchi acha kuficha makucha ya dhambi.Your driving on wrong side of the road.
 
kumbe hata hela za kutoka nje ya nchi zinawauma? lengo la upinzani ni kuona serikali inakwama ila kwa utawala huu mtapata tabu sana.Ambaye anataka demokrasia akaandamane tumuone,awamu zilizopita mnadai kulikuwa na demokrasia je imetufikisha wapi? IF MAGUFULI IS A DICTATOR LET HIM BE.
Una safari ndefu sana ya kuerevuka..
 
Sikubaliani na mleta mada kabisa. DFID - UK AIDS hawajaingia Nchini Leo wapo miaka mingi kupitia program mbalimbali zinazotekeleza project mbalimbali Nchini.

Tangu awamu ya tatu wamekuwepo na wamefadhili Miradi mingi sana ya Serikali. Kwa nini sasa hivi unashangaa? Ungeshangaa kwa nini Rais amepokea ili hali alisema sisi sio tegemezi ningeelewa. Halafu pamoja na ukweli ulioongea kumbuka hata USAID bado wapo na wanafadhili project kibao Nchini. Hii Nchi bado ni ya kwetu, tusipende kuwa na attitude hasi namna hii
 
Nilijua hizi BilionI 307.5 zitawaumiza sana watu. Hasa sababu ya kutolewa kwake, kuwa, kama wabunge na madiwani wanaohama vyama vya upinzani, Uingereza nao WANAUNGA MKONO juhudi zinazofanywa na tunaemuita Jiwe. Uingereza wamegundua jiwe linagonga kweli wala rushwa na wasiopenda maendeleo wamamua kumuunga mkono!!!! Wasiolipenda JIWE WATAPATA TAAAAABU SANA.
 
Kila akifanyacho Rais mnakitolea macho na kukikosoa UK hawaangalii mambo madogomadogo km wewe Rais anafanya makubwa zaidi ya haya unayoyaona wewe
 
Kwa umbea wenu wa kwenye mitandao,mtu aliyeko nje ya Tanzania akisoma anaweza kudhani kwamba Tanzania ni nchi ambayo haikaliki kabisa, ila wenye akili wamewaona WAPUMBAVU tu waeneza majungu,wezi mliostaafishwa na Magufuli,wapiga dili mjini mliokuwa mnaamka saa nne asubuhi ndo mnaingia mjini kupiga dili, sasa nafasi hiyo haipo tena kwa utawala huu labda msubiri tawala zijazo. Kwa muktadha huo ndo maana unaona Uingereza na mashirika mengine ya kimataifa wanamwaga pesa wakijua pesa hizo ziko ktk mikono salama ya matumizi. NINYI ENDELEENI NA PROPAGANDA ZENU MFU...!!
 
Sikilizeni watanzania, huu sio wakati wa kutegemea kutetewa na Uingereza.

Leo mchana wengi wetu tumeshangazwa na tulichokiona kutokea Ikulu. Tumemwona waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Uingereza Bi Penny Mordaunt alipomtembelea Mh Rais Magufulu na yeye akielezea kwamba amepewe kiasi cha shilingi 307.5B za kitanzania kama msaada wa kuendeleza kazi za serikali yake katika elimu, afya na mapambano dhidi ya rushwa. Hatujachukia kusaidiwa maana tunataka misaada.

Kilichoshangaza wengi ni kuona katika mazingira ya kisiasa tuliyonayo ambayo Mh Rais JIWE na baadhi watendaji wake aliowateua wameamua kuendesha nchi kikatili, wakivunja au kutokufuata sharia, wakikandamiza haki za binadamu, kuminya uhuru wa kujieleza na vyombo vya habari, na wakiharibu misingi mingi tu ya mfumo wa demokrasia, bado taifa kama Uingereza linampa misaada anayojigamba nayo hadharani. Wengi wetu tulitegemea nchi kama Uingereza ambayo ni moja ya nchi zinazoamini katika misingi ya demokraisa duniani kuwa mstari wa mbele katika kukemea, kukaripia, na hata kumwadhibu Mh Rais JIWE kwa yanayoendelea nchini.

Uingereza na mwenzake Marekani wamekua viranja wa demokraisia duniani miaka yote na mara zote ndio wamekua mstari wa mbele kuadhibu viongozi wanaokiuka misingi hiyo. Cha ajabu inaonekana sasa sio tu kwamba wanaachana na ukiranja huo, bali wako tayari kuwapa kiburi viongozi madikteta kama Mh Rais JIWE watawale vizuri. Nini kinaendelea? Ina maana Uingereza haioni kwamba kumpa misaada Mh Rais JIWE ambaye ameonesha wazi kwamba ana kiu, hamu, njaa, na kila aina ya uhitaji wa MISIFA YA KIJINGA ni kumuongezea ujasiri na misifa ya kijinga katika mkakati wake wa kukandamiza wananchi kwa kigezo cha maendeleo? Wanajua vizuri sana wanachokifanya.

Sikiliza mtanzania, kama unafuatili mambo yanavyokwenda duniani utaelewa kwamba nchi zilizokua mstari wa mbele kupigania demokrasia kwa ujasiri kama Uingereza na Marekani, wana matatizo lukuki ndani ya nchi ya nchi zao ambayo ni vipaumbele Zaidi na haviwapi muda wa kujisumbua na nchi wasizo na maslahi mapana nazo. Kivipi?
  • Kule Uingereza wna wakati mgumu sana kutokana na kinachoendelea baada ya kura ya Brexit. Wananchi wake wana hofu kubwa na viongozi wa serikali pamoja na bunge wako bize na maslahi ya nchi yao baada ya kujitoa Jumuiya ya Ulaya na jinsi ambavyo wanaweza kuendelea kufaidika nayo. HAWANA MUDA NA DEMOKRASIA NA HAKI ZA BINADAMU TANZANIA.
  • Uingereza wako bize kutazama "malisho mapya" baada ya kujitoa EU. Wanapambana kujenga mahusiano na mazingira mazuri ya kiuchumi na nchi za Jumuiya ya Madola ambazo nasi ni wanachama. Wanajenga mahusiano na nchi yoyote ile watakayoweza kufaidika kiuchumi na kupanua himaya yao ya utawama mamboleo. HAWANA MUDA NA DEMOKRASIA NA HAKI ZA BINADAMU TANZANIA.
  • Waziri mkuu Theresa May hajawahi kukanyaga Afrika tangu achaguliwe. Sina hakika hata kama kuna waziri wake wa mambo ya nje ambaye ndio anamfuata kwa uzito kafanya hivyo. Presha aliyonayo May kwenye nchi yake ni kubwa kupita kiasi na amekua akiongoza baraza la mawaziri lililogawanyika kuhusu kujitoa EU. Kule Bungeni anabanwa na kina Corbyn kupita maelezo. HANA MUDA WA KUFUATILIA NA KUJICHOSHA NA DEKOMRASIA YA TANZANIA.
  • Hali ya uchumi wa Uingereza sio nzuri sana. Ukifuatilia habari zao utaona maisha yanakua magumu, kazi ni tabu, wanakata bajeti kwenye maeneo mengi ya muhim kama afya, elimu, nk. Haya ndio vipaumbele vyao na HAWAWEZI KUTUMIA RASILIMALI ZAO HABA KUFUATILIA DEMOKRASIA NA HAKI ZA BINADAMU TANZANIA.
  • Kwa kuwa wanataka kujenga mahusiano mapya kama mkakati mbadala baada ya kujitoa EU wanaogopa kukosana na mataifa wanayoyawinda hivyo hawawezi kuonesha misimamo migumu kuhusu mambo yao ya ndani. HAWANA MUDA WA KUINGILIA MAMBO YA NDANI YA TANZANIA.
  • Kwa upande wa Marekani, ina janga la uongozi wa Trump ambaye karibu kila asubuhi kuna jipya la kukabiliana nalo. Huyu kama sio mifumo imara wa nchi yake naye angekua na mtindo wa utawala usiotofautiana na Rais JIWE. Hana mpango na demokrasia na anaonesha viashiria vingi vya kuikanyaga hata ndani ya nchi yake. Naye ni mbabe na asiyeogopa kukanyaga haki za binadamu. Kwa tabia zake, kawafanya hata maseneta na wabunge wa bunge la wawakilishi kua na mambo mengi ya nchi yao kuliko kujishughulisha demokrasia. Majuzi tumesoma kwamba tangu Trump aingine madarakani hajateua balozi wa kuja Tanzania na aliyepo anakaimu tu. Hii inatosha kuonesha kwamba hana mpango na maslahi yetu na huenda hata hajui jina la Rais JIWE
Sikiliza watanzania, Ukiwatoa hawa wawili nani mwingine kabaki wa kuitisha Tanzania?
  • Nchi za Jumuiya ya Ulaya? Sidhani. Ufaransa na Ujerumani haina maslahi makubwa na Tanzania na ni mara chache wanaongelea maslahi yetu. Kule Afrika Magharibi Ufaransa inaleo madikteka kadhaa hivyo sio tabu kwao.
  • Nchi za EU zilizobaki ni ndogondogo zina matatizo mengi, na zisizo na historia ya kuhangaika na mambo ya nchi zingine "to that extent".
  • Binamu yetu China yeye haamini katika Demokrasia na ndio baba wa MAJIWE Afrika. Anawapenda, anawakumbatia na anawasaidia kufanikisha ujiwe wao. Si umeona anamjengea JIWE na chama chake chuo pale Kibaha?
  • Japan yeye hana shida na maisha ya watu na utawala wao. Mradi munanunua magari yake na bidhaa zao zingine yuko tayari kuwafadhili kwa chochote. Kwani umejiuliza kwa nini Rais JIWE katika mikakati yake ya kubana matumizi hajawahi kugusa eneo la magari ambalo limelalamikiwa tangu Enzi za Mkapa kwamba ni linatupotezea fedha sana? Hujaona wanavyotumia magari ya Japan ovyo hata kumlinda Mwita Mwikabe? Hagusi magari maana hataki kuigusa Japan.
  • Waarabu wao wala hawajui demokrasia nini ili mradi kuna halua mezani. Maisha yao yote wanatawaliwa na familia za kifalme na jambo lolote lisilogusa dini yao hawana habari nao.
  • Nchi jirani? Tunajua sote kwamba zinaongozwa na MAJIWE pia.
Sikiliza watanznaia, Mange Kimambi alitumia muda mwingi sana kutuelewesha na kutushawishi kwamba hakuna wa kupigania haki na demokrasia yetu kutoa sisi wenyewe. Baadhi yetu serikali tulimwelewa sana na tulitegemea watanzania waitikie nasi tusaidie "kutokea jikoni". Pamoja na kasoro zake, yule dada alikua na hoja za msingi sana katika hili. Ni kweli hatuna wa kupigania demokrasia yetu isipokua sisi wenyewe. Hakuna kiongozi mstaafu wa CCM atatusemea na wanamuogopa Rais JIWE kuliko maelezo. Si tuuliwaona akina Mwinyi, Msekwa na Warioba walivyokua wanaongea kwa kutetemeka JIWE alipowaita wamshauri? JK yeye anakula bata duniani na mambo yake na familia yake ni safi. Hata watanzania wakichwapwa viboko wote anajua yeye na familia yake wako salama, wanalindwa, wanakula posho na mke kahongwa ubunge. Hutamsikia.

Sikiliza watanzani, Rais JIWE sio mjinga. Anajua kabisa kwa sasa hakuna mtu atamtisha maana viranja wako kimya. Anajua Kiranja Uingereza anamhitaji yeye kuliko yeye anavyowahitaji. Kwani hatujaona wasemaji wake kama kina Kabuni na yeye wenyewe wakijisifu kwamba nchi za nje wanatambua kazi anayofanya na kumsifu kuliko sisi watanzania? Au hatuelewi hiyo kauli inamaanisha nini? Rais JIWE anajua itachukua muda mrefu sana hadi atishiwe na mtu yoyote musishangae muda sio mrefu ataitoa Tanzania katika mahakama ya The Hague.

Sikilizeni watanzania, Tusishangae Uingereza kumsaidia Rais JIWE. Tena tusishangae tukiona wanamsifia hadharani. Wanafanya hivyo kutetea maslahi yao na unafuuu wa watu wao kiuchumi. Wana mengi ya kuvuna hapa kwetu na hivi vibilioni walivyotoa ni chenchi tu. Kupiga kelele kwetu hakuwagusi na haiwahusu. Sisi ndio tunayaelewa machungu yetu. Tunaelewa shida zetu. Tunaelewa maumivu tuliyonayo. NA SISI NDIO WA KUJITAFUTIA TIBA WENYEWE.

Mtumishi wa Umma
Wewe umejaza makamasi kichwani kuamini kuwa sisi tunaongizwa na nchi ulizozitaja na hatujionhizi wenyewe. Tanzania ni Nchi huru na Magufuli anaendesha Nchi hii kwa kufuata misingi yote ya sheria na hakuna mtu wa kumsema vibaya ukiacha nyie akina fulani. Mange ni kichaa kama vichaa wengine na ndiyo maana hakufanikiwa katika upuuzi wake alioupanga. Fikiria mtu yuko ughaibuni halafu anawahamasisha watu waandamane hapa yeye akiwa hayupo, hawa watu mnadhani ni wajinga kiasi hicho? Watanzania wanajitambua saaana. Unaweza ukawaletea blaa blaa zako wakazichukulia kama burudani lakini ukitaka kuwavunjia amani yao wanakuacha mwenyewe. Hao ndio Watanzania. Mtapata taabu sana.
 
Mkuu naweza kupata link?

Mkuu UK kazi za kumwaga, karibuni walizuiya watu 2000, ambao wanatoka nje ya ulaya kuja ki kazi, waziri wa mambo ya Ndani amesema lazima wachukue wa fanya kazi wa ndani na ku recruit.

Ebwana nchi hii ina kazi za kumwaga sasa hivi, mi kwa siku napata call moja tofauti kwa kazi.

Na nilipo ajiriwa wanahitaji watu wa kazi, full training provide, hakuna wenye skills inabidi atakae patikana unachukuliwa.

Ukija hoja kuwa wako busy na brexit sawa, nakubaliana na wewe, hata mimi nilishangaa sana kuona kupewa hicho kipipa cha fedha.
 
Kilikuuma hadi huna raha nyumbani kwako.

Hahah.. Kuna muda nahisi watanzania wanatamani waachwe tu wasiwe na kiongozi.

JPM jembe kabisa analeta watu kwenye misitari iliyonyooka afu mtu kwa ujinga mwingi kabisa anakuna na pumba kama hizi?

Acheni kutafuta democrasia ya kusadikika ambayo haijawahi kuwepo dunia hii.

Democrasia ikizidi sana matukio ovu nayo huzidi. Mwacheni JPM na wasaidizi wake wapige kazi.

Kama kilikuiima ndo basi tena ..nenda uingeleza ukawaelezee.. Huyo Mange kimambi ashaelewa ndo maana humusikii na njaa sake. Umebaki wewe.
 
Mkuu UK kazi za kumwaga, karibuni walizuiya watu 2000, ambao wanatoka nje ya ulaya kuja ki kazi, waziri wa mambo ya Ndani amesema lazima wachukue wa fanya kazi wa ndani na ku recruit.

Ebwana nchi hii ina kazi za kumwaga sasa hivi, mi kwa siku napata call moja tofauti kwa kazi.

Na nilipo ajiriwa wanahitaji watu wa kazi, full training provide, hakuna wenye skills inabidi atakae patikana unachukuliwa.

Ukija hoja kuwa wako busy na brexit sawa, nakubaliana na wewe, hata mimi nilishangaa sana kuona kupewa hicho kipipa cha fedha.
MZee baba ya kweli haya! Nataka nije German nasikia kazi nyingi sana
 
Mkuu umeandika kwa uchungu na umeandika logic Sana, ni kweli kabisa Hakuna taifa la kujitoa dhidi ya taifa flani, hadi kuwe na maslahi yao yameguswa.
Ni sisi wenyewe ndo tujiokoe kwa nguvu zetu, utakumbuka jinsi US ilivyokuwa ikimlinda Saddam na ukatili wake, lakini alipogusa maslahi yao Kuwait wakamnyonga.
Tanzania ni taifa la wajinga bado ndo mtaji wa CCM, siku wajinga wakierevuka ndo mwisho wa CCM, tumwombe Mungu jiwe lijifie lenyewe na siyo kumwaga damu za wat
Mjinga ni wewe usiyetambua mchango mkubwa alioutoa Rais wetu katika masuala mbalimbali yanayotuhusu Wanzanzania tangu akiwa Waziri katika Wizara mbalimbali hadi leo hii ni Rais wa Tanzania.
 
Democracy inabanwa hapohapo bandiko limejaa matusi kwa rais na bado upo huru

Nyinyi ndio mnapaswa kujitafakari sababu mliwaambia wasiipe Tanzania pesa za mikopo lakini badala yake ndio wanamwaga mihela ya bure kabisa
 
Inaelekea wewe mgeni kwa Rais wetu. Rais JIWE sio tusi bali ni yeye alijitambulisha hivyo. Fuatilia hotuba yake aliyoitoa akiwa Chato akifungua tawi la bank ya CRDB. Alijitambulisha kuwa yeye ni JIWE dunia nzima ikimtazama. Tafuta hoja nyingine hiyo ya matusi haina pa kushikia.
 
Obama aliwadekeza sana waafrika.
Sasa hivi dunia imeshikwa na watu wenye roho ngumu.
Hakuna MTU atawasaidia.
Kilichobaki in kufanya siasa kwa akili,usifanye kitu ukitegemea mmarekani,sijui muingereza atakusaidia,hapendwi MTU SIKU hizi,wanangalia maslahi yao tu
 
Mkuu Wick,

Pamoja na maelezo mazuri ya Mtumishi wa Umma lakini naona na yeye ameghafirika jambo moja ambalo wengi huwa wanaghafirika nalo! Kwamba, Marekani na Uingereza wapo against na viongozi au nchi zinazokiuka misingi ya demokrasia na utawala wa bora!!!

Ingawaje mbele ya jicho la kimataifa wangependa waonekane hivyo lakini ukweli ni kwamba hiyo sio major concern kwao! Be notorious leader kwa viwango vyote lakini ikiwa unapiga magoti kwa mataifa haya, basi kwao utakuwa a good boy, hata kama kwa kupitia mlango wa nyum!

Kinyume chake, practice 100% Open Democracy and Good Governance hata kwa kuwazidi Western Countries lakini ukienda kinyume nao, wewe utakuwa ni adui yao usiyestahili kupata japo mkopo wao let alone msaada!!

Magufuli still plays a good boy kwa hawa jamaa na kwahiyo hawana sababu ya kumnyima misaada!!! Hawa watu wanaookotwa baharini can never be UK or even US's concern!

Itoshe tu kusema kwamba, hawa jamaa ni WANAFIKI!!!
 
Sikilizeni watanzania, huu sio wakati wa kutegemea kutetewa na Uingereza.

Leo mchana wengi wetu tumeshangazwa na tulichokiona kutokea Ikulu. Tumemwona waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Uingereza Bi Penny Mordaunt alipomtembelea Mh Rais Magufulu na yeye akielezea kwamba amepewe kiasi cha shilingi 307.5B za kitanzania kama msaada wa kuendeleza kazi za serikali yake katika elimu, afya na mapambano dhidi ya rushwa. Hatujachukia kusaidiwa maana tunataka misaada.

Kilichoshangaza wengi ni kuona katika mazingira ya kisiasa tuliyonayo ambayo Mh Rais JIWE na baadhi watendaji wake aliowateua wameamua kuendesha nchi kikatili, wakivunja au kutokufuata sharia, wakikandamiza haki za binadamu, kuminya uhuru wa kujieleza na vyombo vya habari, na wakiharibu misingi mingi tu ya mfumo wa demokrasia, bado taifa kama Uingereza linampa misaada anayojigamba nayo hadharani. Wengi wetu tulitegemea nchi kama Uingereza ambayo ni moja ya nchi zinazoamini katika misingi ya demokraisa duniani kuwa mstari wa mbele katika kukemea, kukaripia, na hata kumwadhibu Mh Rais JIWE kwa yanayoendelea nchini.

Uingereza na mwenzake Marekani wamekua viranja wa demokraisia duniani miaka yote na mara zote ndio wamekua mstari wa mbele kuadhibu viongozi wanaokiuka misingi hiyo. Cha ajabu inaonekana sasa sio tu kwamba wanaachana na ukiranja huo, bali wako tayari kuwapa kiburi viongozi madikteta kama Mh Rais JIWE watawale vizuri. Nini kinaendelea? Ina maana Uingereza haioni kwamba kumpa misaada Mh Rais JIWE ambaye ameonesha wazi kwamba ana kiu, hamu, njaa, na kila aina ya uhitaji wa MISIFA YA KIJINGA ni kumuongezea ujasiri na misifa ya kijinga katika mkakati wake wa kukandamiza wananchi kwa kigezo cha maendeleo? Wanajua vizuri sana wanachokifanya.

Sikiliza mtanzania, kama unafuatili mambo yanavyokwenda duniani utaelewa kwamba nchi zilizokua mstari wa mbele kupigania demokrasia kwa ujasiri kama Uingereza na Marekani, wana matatizo lukuki ndani ya nchi ya nchi zao ambayo ni vipaumbele Zaidi na haviwapi muda wa kujisumbua na nchi wasizo na maslahi mapana nazo. Kivipi?
  • Kule Uingereza wna wakati mgumu sana kutokana na kinachoendelea baada ya kura ya Brexit. Wananchi wake wana hofu kubwa na viongozi wa serikali pamoja na bunge wako bize na maslahi ya nchi yao baada ya kujitoa Jumuiya ya Ulaya na jinsi ambavyo wanaweza kuendelea kufaidika nayo. HAWANA MUDA NA DEMOKRASIA NA HAKI ZA BINADAMU TANZANIA.
  • Uingereza wako bize kutazama "malisho mapya" baada ya kujitoa EU. Wanapambana kujenga mahusiano na mazingira mazuri ya kiuchumi na nchi za Jumuiya ya Madola ambazo nasi ni wanachama. Wanajenga mahusiano na nchi yoyote ile watakayoweza kufaidika kiuchumi na kupanua himaya yao ya utawama mamboleo. HAWANA MUDA NA DEMOKRASIA NA HAKI ZA BINADAMU TANZANIA.
  • Waziri mkuu Theresa May hajawahi kukanyaga Afrika tangu achaguliwe. Sina hakika hata kama kuna waziri wake wa mambo ya nje ambaye ndio anamfuata kwa uzito kafanya hivyo. Presha aliyonayo May kwenye nchi yake ni kubwa kupita kiasi na amekua akiongoza baraza la mawaziri lililogawanyika kuhusu kujitoa EU. Kule Bungeni anabanwa na kina Corbyn kupita maelezo. HANA MUDA WA KUFUATILIA NA KUJICHOSHA NA DEKOMRASIA YA TANZANIA.
  • Hali ya uchumi wa Uingereza sio nzuri sana. Ukifuatilia habari zao utaona maisha yanakua magumu, kazi ni tabu, wanakata bajeti kwenye maeneo mengi ya muhim kama afya, elimu, nk. Haya ndio vipaumbele vyao na HAWAWEZI KUTUMIA RASILIMALI ZAO HABA KUFUATILIA DEMOKRASIA NA HAKI ZA BINADAMU TANZANIA.
  • Kwa kuwa wanataka kujenga mahusiano mapya kama mkakati mbadala baada ya kujitoa EU wanaogopa kukosana na mataifa wanayoyawinda hivyo hawawezi kuonesha misimamo migumu kuhusu mambo yao ya ndani. HAWANA MUDA WA KUINGILIA MAMBO YA NDANI YA TANZANIA.
  • Kwa upande wa Marekani, ina janga la uongozi wa Trump ambaye karibu kila asubuhi kuna jipya la kukabiliana nalo. Huyu kama sio mifumo imara wa nchi yake naye angekua na mtindo wa utawala usiotofautiana na Rais JIWE. Hana mpango na demokrasia na anaonesha viashiria vingi vya kuikanyaga hata ndani ya nchi yake. Naye ni mbabe na asiyeogopa kukanyaga haki za binadamu. Kwa tabia zake, kawafanya hata maseneta na wabunge wa bunge la wawakilishi kua na mambo mengi ya nchi yao kuliko kujishughulisha demokrasia. Majuzi tumesoma kwamba tangu Trump aingine madarakani hajateua balozi wa kuja Tanzania na aliyepo anakaimu tu. Hii inatosha kuonesha kwamba hana mpango na maslahi yetu na huenda hata hajui jina la Rais JIWE
Sikiliza watanzania, Ukiwatoa hawa wawili nani mwingine kabaki wa kuitisha Tanzania?
  • Nchi za Jumuiya ya Ulaya? Sidhani. Ufaransa na Ujerumani haina maslahi makubwa na Tanzania na ni mara chache wanaongelea maslahi yetu. Kule Afrika Magharibi Ufaransa inaleo madikteka kadhaa hivyo sio tabu kwao.
  • Nchi za EU zilizobaki ni ndogondogo zina matatizo mengi, na zisizo na historia ya kuhangaika na mambo ya nchi zingine "to that extent".
  • Binamu yetu China yeye haamini katika Demokrasia na ndio baba wa MAJIWE Afrika. Anawapenda, anawakumbatia na anawasaidia kufanikisha ujiwe wao. Si umeona anamjengea JIWE na chama chake chuo pale Kibaha?
  • Japan yeye hana shida na maisha ya watu na utawala wao. Mradi munanunua magari yake na bidhaa zao zingine yuko tayari kuwafadhili kwa chochote. Kwani umejiuliza kwa nini Rais JIWE katika mikakati yake ya kubana matumizi hajawahi kugusa eneo la magari ambalo limelalamikiwa tangu Enzi za Mkapa kwamba ni linatupotezea fedha sana? Hujaona wanavyotumia magari ya Japan ovyo hata kumlinda Mwita Mwikabe? Hagusi magari maana hataki kuigusa Japan.
  • Waarabu wao wala hawajui demokrasia nini ili mradi kuna halua mezani. Maisha yao yote wanatawaliwa na familia za kifalme na jambo lolote lisilogusa dini yao hawana habari nao.
  • Nchi jirani? Tunajua sote kwamba zinaongozwa na MAJIWE pia.
Sikiliza watanznaia, Mange Kimambi alitumia muda mwingi sana kutuelewesha na kutushawishi kwamba hakuna wa kupigania haki na demokrasia yetu kutoa sisi wenyewe. Baadhi yetu serikali tulimwelewa sana na tulitegemea watanzania waitikie nasi tusaidie "kutokea jikoni". Pamoja na kasoro zake, yule dada alikua na hoja za msingi sana katika hili. Ni kweli hatuna wa kupigania demokrasia yetu isipokua sisi wenyewe. Hakuna kiongozi mstaafu wa CCM atatusemea na wanamuogopa Rais JIWE kuliko maelezo. Si tuuliwaona akina Mwinyi, Msekwa na Warioba walivyokua wanaongea kwa kutetemeka JIWE alipowaita wamshauri? JK yeye anakula bata duniani na mambo yake na familia yake ni safi. Hata watanzania wakichwapwa viboko wote anajua yeye na familia yake wako salama, wanalindwa, wanakula posho na mke kahongwa ubunge. Hutamsikia.

Sikiliza watanzani, Rais JIWE sio mjinga. Anajua kabisa kwa sasa hakuna mtu atamtisha maana viranja wako kimya. Anajua Kiranja Uingereza anamhitaji yeye kuliko yeye anavyowahitaji. Kwani hatujaona wasemaji wake kama kina Kabuni na yeye wenyewe wakijisifu kwamba nchi za nje wanatambua kazi anayofanya na kumsifu kuliko sisi watanzania? Au hatuelewi hiyo kauli inamaanisha nini? Rais JIWE anajua itachukua muda mrefu sana hadi atishiwe na mtu yoyote musishangae muda sio mrefu ataitoa Tanzania katika mahakama ya The Hague.

Sikilizeni watanzania, Tusishangae Uingereza kumsaidia Rais JIWE. Tena tusishangae tukiona wanamsifia hadharani. Wanafanya hivyo kutetea maslahi yao na unafuuu wa watu wao kiuchumi. Wana mengi ya kuvuna hapa kwetu na hivi vibilioni walivyotoa ni chenchi tu. Kupiga kelele kwetu hakuwagusi na haiwahusu. Sisi ndio tunayaelewa machungu yetu. Tunaelewa shida zetu. Tunaelewa maumivu tuliyonayo. NA SISI NDIO WA KUJITAFUTIA TIBA WENYEWE.

Mtumishi wa Umma
Peleka ukichaa wako huko. Kwa hilo uko peke yako.
 
Back
Top Bottom