Kweliiii eeeee....hahahaaa sorry ila mdogo wangu anahizo sifa ni PM nikuunganishe...hahahaaaa umuoe kabisaaaaMIMI NAPENDA SANA MWANAMKE MWEUSI, KAMA WEWE NI MWANAMKE MWEUSI NI PM, TUWASILIANE COZ BLACK NI UGONJWA WANGU
Mbona nime kupm but hujibuKweliiii eeeee....hahahaaa sorry ila mdogo wangu anahizo sifa ni PM nikuunganishe...hahahaaaa umuoe kabisaaaa
Kuna watoto weusi wakali balaa.Kwa utafiti niliyofanya, nimegundua Wanaume wengi wanavutiwa zaidi na mwanamke weupe kuliko weusi. Unakuta wanawake wawili labda wanafanana features kama face shape, macho, figure lakini tofauti rangi, basi yule mweupe ndo anashobokewa kuliko mweusi.
Wanaume nawashangaa, wako tayari kuwa na mwanamke shapeless, sura imekomaa, mladi ni mweupe.
Ni ushamba au mimi tu nina mtazamo wa tofauti. Kwanini tunajikataa waafrica uhalisia wetu.