Eti wanawake weusi hawana mvuto?

Eti wanawake weusi hawana mvuto?

Utafiti wako umefanya ukiwa club gani?
Wanawake weusi wana k ndogo taamuuu za motooo.
 
Sidhani kama mleta mada uko sahihi maana weupe au weusi si kigezo cha mtu kuwa na mvuto. Na mwanaume anavutiwa na vingi kwa mwanamke ukiachana na rangi ya ngozi. Kuna weupe wengi tu wasiovutia na mtu hawezi kuwataka hata kwa pesa na kuna weusi wengi walio na mvuto sana tu kama walivyo wabaya wenye ngozi nyeusi tu. Au sijakuelewa?
Hapa kasema hata kama vigezo vinaelekeana, na nadhani kwa kiasi ni ukweli "Ndio maana wanawake wanajichubua, au kijing'arisha). Wanaume wengi (sio wote) wanapenda wanawake weupe
 
Izo ni dhana tu mapenzi ni zaid ya rangi..labda ujisemee mwenyewe na usitujumuishe wanaume wote..."utamu wa chai sukar dingi"
 
Kwangu mimi inategemea weusi wa kiwango gani na sura na umbo lake.
View attachment 314793
images
images
images
images
Huyo wa kwanza upande wa juu ni mweusi tiiii,hadi raha.
 
Kwa utafiti niliyofanya, nimegundua Wanaume wengi wanavutiwa zaidi na mwanamke weupe kuliko weusi. Unakuta wanawake wawili labda wanafanana features kama face shape, macho, figure lakini tofauti rangi, basi yule mweupe ndo anashobokewa kuliko mweusi.

Wanaume nawashangaa, wako tayari kuwa na mwanamke shapeless, sura imekomaa, mladi ni mweupe.

Ni ushamba au mimi tu nina mtazamo wa tofauti. Kwanini tunajikataa waafrica uhalisia wetu.
Kipendacho roho,hula nyama mbichi.
 
Kama.huyu hapa je!
 
Attachments

  • 1451908486666.jpg
    1451908486666.jpg
    15.1 KB · Views: 30
Dah! Nafikiri tupo tofauti, mimi nikiona ile chocolate au milk chocolate napagawa, alafu hata wakati wa mechi weusi wana unyevu uliobalansi, wanaloanisha dushe kwa kiwango kinachotakiwa. Ni mtazamo wangu!
 
Kwa utafiti niliyofanya, nimegundua Wanaume wengi wanavutiwa zaidi na mwanamke weupe kuliko weusi. Unakuta wanawake wawili labda wanafanana features kama face shape, macho, figure lakini tofauti rangi, basi yule mweupe ndo anashobokewa kuliko mweusi.

Wanaume nawashangaa, wako tayari kuwa na mwanamke shapeless, sura imekomaa, mladi ni mweupe.

Ni ushamba au mimi tu nina mtazamo wa tofauti. Kwanini tunajikataa waafrica uhalisia wetu.
Kwa utafiti niliyofanya, nimegundua Wanaume wengi wanavutiwa zaidi na mwanamke weupe kuliko weusi. Unakuta wanawake wawili labda wanafanana features kama face shape, macho, figure lakini tofauti rangi, basi yule mweupe ndo anashobokewa kuliko mweusi.

Wanaume nawashangaa, wako tayari kuwa na mwanamke shapeless, sura imekomaa, mladi ni mweupe.

Ni ushamba au mimi tu nina mtazamo wa tofauti. Kwanini tunajikataa waafrica uhalisia wetu.

Maandiko katika kitabu cha biblia(wimbo ulio bora 2:2) yanasema usinione ni mweusi mweusi lakini ninao uzuri. na pia nabii Mussa alioa mwanamke mweusi mpaka dadake Miriam akawa anamcheka, Lakini laana yake aliota ukoma.
nafagilia sana wenye wanawake weusi wengi wao huwa ni wasafi sana, achilia mmoja mmoja hiyo ipo kila sehemu.
Kujikataa weusi wetu ni ujinga na ubaradhuri!
 
Hao mie ndio nawatafuta, sijui ntawapata lini
^^
 
Kitu ebony halafu figa ya kibantu... asalaaleeh!
 
Kwa utafiti niliyofanya, nimegundua Wanaume wengi wanavutiwa zaidi na mwanamke weupe kuliko weusi. Unakuta wanawake wawili labda wanafanana features kama face shape, macho, figure lakini tofauti rangi, basi yule mweupe ndo anashobokewa kuliko mweusi.

Wanaume nawashangaa, wako tayari kuwa na mwanamke shapeless, sura imekomaa, mladi ni mweupe.

Ni ushamba au mimi tu nina mtazamo wa tofauti. Kwanini tunajikataa waafrica uhalisia wetu.
MIMI NAPENDA SANA MWANAMKE MWEUSI, KAMA WEWE NI MWANAMKE MWEUSI NI PM, TUWASILIANE COZ BLACK NI UGONJWA WANGU
 
Kila mtu anakuwa na muono wake wako ambao wanapenda weusi lakini pia wapo ambao wanapende weupe black is beautify mkuu kwa hiyo usimjaji mtu kwa matazamo wako hapana.
 
Back
Top Bottom